Mifugo na Uvuvi: Recent submissions

  • Chiwanga, Gaspar H.; Muhairwa, A. (Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2017)
    Kitini kinachoelezeleza kwa ufupi magonjwa na kinga zake kwa maambukizi ya kuku.
  • Mwandishi Hajulikani (Shirika la kuhufdhi misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2017)
    Moja ya matarajio makubwa ya mradi huu wa AVA ni kusadia jamii kuibua miradi ya maendeleo mbayo ni rafiki wa misitu na mazingira. Hivyo mojawapo ya miradi iliyoibuliwa na wanakijiji wa Halmashauri ya Mvomero, Morogoro ni ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-08)
    Kuanzia magonjwa, kutokufuga jike na dume wa ukoo mmoja (Inbreed), kuzuia kupandwa jike mapema na kuwachinja sungura waliokomaa, inatakiwa kujenga kizizi au kitundu. Maelekezo kabla ya kujenga kizizi i. Mfugaji yampasa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-07)
    Bata Bukini ni ndege ambao asili yao ni India na Japan. Hii ni jamii ya ndege wafugwao lakini tofauti kubwa ya bata wa kawaida wao wana asili ya usafi hivyo hawapendi uchafu na kamwe hawali mizoga.
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2016-12)
    Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika kama wanyama kazi. Zaidi ya asilimia 95 ya ng’ombe ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo na Mifugo Blog, 2017-05)
    “Ufugaji wa Nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata mazao bora. Unaweza kupata kila unachohitaji wewe, familia na hata ndugu zako kutokana na ufugaji wa nguruwe”, anasema Bwana Lomaiyani Molel kutoka Arusha. Jamii ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-07)
    Napenda kuwaletea somo la jinsi ya kulea vifaranga vya kuku, hivyo usiache kua nasi ili kujifunza mengi zaidi. Na tutaanza na jinsi ya kujenga nyumba ya vifaranga, hivyo ukitaka kujenga nyumba ya vifaranga ni lazima ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-05)
    Katika toleo liliotangulia, tulizungumzia kuhusu utayarishaji wa mabwawa na matangi ya kufugia kambare, muda na kiasi cha mbolea na chokaa kinachohitajika kuongezwa kabla ya kuingiza samaki, uchaguzi na usafirishaji wa ...
  • Mussa, D (Kilimo Tanzania Blog, 2018-05)
    FAIDA ZA KUFUGA KAMBARE • Kambare ni aina ya samaki wanaoweza kukua hadi kufi kia kilo 10 na hivyo humuwezesha mfugaji kujipatia kipato na nyama zaidi kuliko perege na aina nyingine za samaki. • Nyama ya kambare ...
  • Mwandishi Hajulikani (Jamii Forum, 2007)
    Kuna usemi flani unatumiwa na watu wengi sana. unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” . Hata mimi nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote ...
  • Mwandishi Hajulikani (PANTIL - SUA, 2013)
    Swali hili ni kubwa, na pengine zito kuliko maswali vote ambayo mkulima amekuwa akijiuliza. Ni njia ipi bora kutumia kupandisha mfugo? Je atumike dume anayefugwa na mfugaji moja kwa moja au itumike teknolojia ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Reseach Institute - KARI, 2008)
    Vifo vya nguruwe wachanga hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa. Utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua na mengineyo.
  • Lekule, F. P; Muhairwa, A; Ngowi, Helena; Mushi, D; Kimbi, E. C (a Mradi wa SLIPP - Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo - SUA, 2010)
    Ufugaji wa Nguruwe ni kati ya shughuli zinazokuwa haraka katika Afrika Mashariki na ya Kusini. Ukuaji wa miji na ongezeko la watu kumeendana na ongezeko kubwa la mahitaji ya protini ya wanyama. Uwezo wa kukua haraka, ubora ...
  • Mwandishi Hajulikani (FARM Africa, 2014)
    FARM Africa ni shirika lisilo la kiserikali, na shughuli zake nyingi zimejikita kati kuchangia kupunguza umaskini wa Mtanzania wa hali yachini. Shirika hili linafanya shughuli zake zaidi katika Wilaya zaBabati, Mbulu ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Livestock Research Institute - ILRI, 2016)
    Ndigana kali ni ugonjwa hatari wa ng’ombe unaoenezwa na kupe wekundu wanaokaa katika masikio ya ng’ombe. Ugonjwa huu unasababisha vifo na hasara kubwa kiuchumi.
  • Mwandishi Hajulikani (Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo Tanzania (Mradi wa TARP II - SUA), 2013)
    Maendeleo vijijini hutegemea sana matumizi ya teknolojia. Kwa kuwa zaidi ya asilimia 80 ya Watanzania huishi vijijini kwa kutegemea shughuli za kilimo, ni wazi basi maendeleo yao hayawezi kupatikana bila kuendeleza ...
  • Kifaro, C. G; Laswai, G. H; Kerario, I. I; Kibasu, I; Madalla, N; Mayunga, N (Kitivo cha Kilimo, Idara ya Sayansi za Wanyama - SUA, 2014)
    Faidika na Sungura - Hutoa nyama nyingi kwa haraka • Nyama nyeupe isiyo na mafuta mengi • Huzaa watoto wengi kwa mwaka • Umbile lake ni dogo na rahisi kumfuga • Ulishaji wake ni wagharama ndogo • Nyumba ni rahisi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Harsho Trading Co. Ltd, Moshi Tanzania, 2016)
    Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kwa upande wa HARSHO FEEDS tupo tayari kumhudumia mfugaji wa kuku kwa kumpatia chakula na utaalamu sahihi. Katika uleaji wa vifaranga kuna tofuati kati ya vifaranga wa ...
  • Kajuna, F (Livestock Training Agency - LITA, 2017)
    Mhadhara juu ya uwepo wa sumu kuvu katika vyakula vya kuku - Sumu kuvu - kemikali za sumu (mycotoxins) za fangasi (kuvu) - kwenye vyakula. Zipo aina nyingi – aflatoxins ndio hatari zaidi ukanda wa kitropiki kama Tanzania. ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2010)
    Mwaka 2008/9 RLDC ilifanya majaribio ya mfumo wa ufugaji wa kuku wa asili kupitia vikundi vidogo vya wafugaji wa vijijini katika vijiji vya Bupandagila na Mbiti, Wilayani Bariadi katika Mkoa wa Shinyanga. Huu ni ufugaji ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account