Mifugo na Uvuvi

 

Wasilisha karibuni

  • chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (chuo cha kilimo cha Sokoine, 2015)
    Ngozi ni mail kwako wewe na kwa nchi yako. Ngozi za Tanganyika huuzwa mahali pote duniani. Ngozi za nchi yetu lazima ziwe safi kabisa ill ziweze knstahili sifa nzuri katika soko la dunia.
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2018-02)
    Ngamia ni mnyama muhimu katika maeneo ya ukame au baridi kali anakotumika kwa shughuli mbalimbali ikiwemo usafiri, chakula kupitia maziwa na nyama yake, kuwawezesha wanawake kiuchumi na pia kulinda mazingira. Shirika la ...
  • SAT (Kituo cha mafunzo ya wakulima, 2023)
    Mfugaji wa kuku ana jukumu la kuhakikisha kuku wake wanaishi katika mazingira mazuri kiasi cha kutosha kufanya uzalishaji.Kuku ni jamii ya ndege wanaofugwa.Vifaranga ni watoto wa kuku waliotoka kwenye yai wenyeumri kuanzia ...
  • Nzige 
    Wingu la mashahidi (Wingu la mashahidi, 2022-11-14)
    Hii ni jamii ya Panzi, ambayo ndio jamii kubwa kimaumbile kuliko jamii zote za panzi, Nzige wanasifa ya kutembea kimakundi na wanahama kutoka ukanda mmoja kwenda mwingine, na wanapotua mahali wanaharibu mazao ndani ya muda ...
  • Ndemanisho, Edith E (Sokoine university of agriculture, 2018)
    Kitabu hiki cha “Uzalishaji bora wa mbuzi wa nyama" kimetayarishwa na mtaalam na muelimishaji wa somo la mbuzi na kondoo kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kwa Aiidi ya miaka 35, Profesa Edith Ndcmanisho. Lengo kubwa ...
  • WIKIPEDIA (WIKIPEDIA, 2020)
    Kuku Mashuhuri Tanzania ni aina mbalimbali za kuku ambao wanafugwa kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania.
  • Clifford, Diana; walking, David; Muse, Alex (Amerika ya Kaskazini na mradi wa health for animal and liverhood improvement - Hali, 2011)
    Wanyamapori kwenye hifadhi ya wanyama wako chini ya mbinyo wa matishio mbalimbali kama vile ukame uwindaji haramu ujangili mioto na uharibufu wa makazi yao.Tishio jingine kwa wanyama pori ni ugonjwa.
  • TARP II-SUA Project (Sokoine university of agriculture, 2002)
    Utambuzi yakinifu wa magonjwa ya ndege wafugwao ni mgumu kupita ule wa magonjwa ya mifugo mengine. Hii ni kwa sababu dalili za ugonjwa kwa mnyama hai peke yake hazitoshi kusema ugonjwa usumbuao kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Animal Care Unit, 2018-06-11)
  • Bunda farmers (Sokoine university of agriculture, 2012)
    Kuku wa kienyeji ni kuku wanaopendwa kufugwa na kuliwa na watu wengi kutokana na uasili wake. Jina la kuku wa kienyeji limekuwa maarufu kutokana na asili(mbegu) ya kuku hawa kutoka katika mazingira yetu tunayoishi, pia ...
  • Ndemanisho, Edith (Sokoine University of Agriculture, 2021-04-12)
    Kitabu hiki, “Uzalishaji Bora wa Kondoo wa Nyama” kimetayarishwa na mtaalam na mfundishaji wa somo la mbuzi na kondoo kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (kwa zaidi ya miaka 35), Profesa Edith Ndemanisho. Lengo kubwa ...
  • Idara ya ukuzaji viumbe maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi,, 2022-03)
    Kaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). ...
  • Tarimo, Ronald, B (Sokoine University of Agriculture, 2021-06-21)
    Kitabu hiki Jifunze Ufugaji Bora wa Samaki Aina ya Sato na Kambale kimeandikwa kutokana na uhaba mkubwa tulionao nchini wa majarida na vitabu vyenye lengo la kumsaidia Mtanzania kuongezaupatikanaji wa chakula na kukuza ...
  • BBC (BBC, 2019-06-05)
    Zanzibar katika kisiwa cha Uzi shughuli adimu ya ufugaji wa majongoo bahari, ni moja kati ya mradi mikubwa unaotarajiwa kuwa chanzo cha mapato,ajira na fursa muhimu ya uhifadhi wa viumbe bahari ambao katika siku za hivi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farmer Africa, 2018-12-13)
    Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbani Kuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet). Je, wajua mbwa ni kitega uchumi kwa baadhi ya wanaomfuga? ...
  • Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2021)
    Ufugaji wa samaki ni miongoni mwa tasnia inayopewa kipaumbele na jamii mbalimbali hapa nchini, kwa kuwa inatoa fursa za kuongeza kipato, lishe na ajira. Ufugaji wa samaki huweza kufanywa sambamba na kilimo, hususani ...
  • Nyangi, Chacha,J (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2021)
    Tatizo la minyoo Tegu ya nguruwe limetajwa kuwa ni kubwa hali ambayo inawalazimu wataalamu na wanasayansi kufanya utafiti wa kina ili kupata majibu ya tatizo hilo. Wataalamu kutoka sehemu mbalimbali duniani, wamekusanyika ...
  • Idara ya ukuzaji viumbe maji. (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2021)
    Ili kuendana na Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2016 - 2021) inayosisitiza Tanzania ya Viwanda, inashauriwa ufugaji wa samaki ufanyike kwa kutumia teknolojia za kisasa zenye tija kwa ajili ya kuongeza ...
  • Lukuyu, Ben; Githinji, Julius; Lukuyu, Margareth (International Livestock Research Institute - ILRI, 2018-04)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa majani aina ya Brachiaria kwa ajili ya malisho ya wanyama kwa ajili ya uzalishaji bora wa nyama na maziwa.

View more