Mifugo na Uvuvi: Recent submissions

  • Mwandishi Hajulikani (2012-08)
    Silage ni chakula maalum kinachotengenezwa kwa kutumia aina yoyote ya malisho yanayofaa kwa mifugo kama majani, nyasi, mabua ya mahindi, mtama na ufuta. Kwa kawaida silage hutengenezwa wakati wa mvua ambapo majani hukua ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2011)
    Ufugaji wa mbuzi wa maziwa unaendelea kutia fora hasa katika sehemu zenye uwezo pale ambapo mashamba ya kulishia ng’ombe wa maziwa yanapunguka. Sawa na ng’ombe wa maziwa hata mbuzi wa maziwa huhitaji utunzaji mwema.
  • Mwandishi Hajulikani (World Acquaculture, 2016-12)
    Makala inayoelezea ukuaji na mahitaji ya Soko la samaki duniani kupitia uzalishaji unaofanyika Afrika Kusini. Hali hiyo inatoa fursa kwa nchi hiyo kuweza kutumia vizuri mwanya huo kujiendeleza kiuchumi.
  • Mwandishi Hajulikani (ReCoMaP, 2013)
    Ufugaji wa kamba na samaki umeanza kuwa ni shughuli ya ujasiriamali ambayo inaweza kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye jamii ya ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Kama ilivyo kwa shughuli zingine za ufugaji wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo uvuvi na ushirika, 2015)
    Samaki wamekuwa ni chanzo kizuri na kikubwa cha protein Duniani. Ulaji wa samaki umeongezeka maradufu tokea Mwaka 1973; asilimia 90 (90%) la ongezeko hilo likiwa kwa nchi zinazoendelea (Developing Countries). Tani milioni ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Tanfeed Ltd, 2004)
    Kwa mazingira yetu haya ya joto, unyevunyevu mkubwa na jua kali hivyo katika uchaguzi wa sehemu sahihi kwa ajili ya ufugaji wa sungura inategemeana na vitu vifuatavyo;  Mahali maalum  Hali ya hewa  Mtaji  Ukubwa wa mradi.
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2011)
    Mti wa Lucerne (tree Lucerne) ni aina mpya ya mmea wenye chakula cha hali ya juu kwa mifugo; na ambao pia hutumika kwa mapambo, kuzuia mmomonyoko wa udongo kwa maji au upepo, kurutubisha ardhi na kuni.
  • Mwandishi Hajulikani (International Tanfeed Ltd, 2005)
    Ufugaji wa sungura ni moja wapo ya chanzo kizuri cha mapato nchini Tanzania kama watanzania watafanya yafuatayo, • Mfugaji anatakiwa awe na shauku na dhamira ya kweli ya ufugaji. • Kufanya tathmini ya rasilimali alizonazo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Kipeperushi kinachoelezea jinsi ya kulisha mifugo majani ya muhogo wakati wa kiangazi
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)
    Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2006)
    Ufugaji wa kuku ni njia rahisi ya kujipatia kipato na lishe bora kwa kaya nyingi za vijijini. Hii ni kutokana na ukweli kwamba: • Ufugaji hauhitaji mtaji mkubwa kuuanzisha. • Ni rahisi kuusimamia. • Faida inapatikana ...
  • Lyamchai, C. J; Kweka, E. S; Mwikari, M. M; Kingamkono, M. N; Wambugu, C (World Agroforestry Centre - ICRAF, 2005)
    Kaliandra (Calliandra calothyrsus) ni mmea aina ya mikunde wenye asili ya Amerika ya Kati na Mexico. Ulipandwa mara ya kwanza nchini Indonesia kwa ajili ya kivuli katika mashamba ya kahawa, lakini kwa sasa mti huo umeonyesha ...
  • Mkulima Mbunifu Toleo la 7, 2012 (Biovision, 2012-07)
    Jarida hili la Mkulima Mbunifu linalenga zaidi kutoa elimu sahihi kwa mkulima juu ya shughuli zao mbalimbali katika toleo hili kuna makala juu ya: Kuboresha ufugaji wa kuku; Teknolojia rahisi inayoboresha uzalishaji; ...
  • Heifer International Tanzania (Heifer International Tanzania, 2010)
    Mwongozo huu una mada zinazoelekeza ufugaji ulio bora wa kuku wa Asili ikiwemo jinsi ya kutambua ubora wa kuku wanaostahili kufugwa, mifumo mbalimbali itakayoweza kutumika na mapungufu yaliyomo katika ufugaji na jinsi ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), 1994)
    Kitabu hiki kimechapishwa na shirika la chakula na kilimo la umoja wa mataifa (FAO). Dhumuni ni kumpatia mkulima elimu juu ya ufugaji bora wa samaki katika maji matamu (yasio na chumvi) ikiwa ni pamoja na kufahamu namna ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo - ILRI, 2016)
    Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha ...
  • Mwandishi Hajulikani (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, 2010)
    Kipeperushi kinachoelezea ufugaji wa pweza ndani ya kipindi cha miezi 12 na kuanza kupata chakula au biashara
  • Mwandishi Hajulikani (Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF), 2009)
    Mwongozo huu umeandaliwa ili kusaidia jamii na watunga sera katika ngazi ya jamii na kitaifa kufanya maamuzi na uchaguzi sahihi kuhusu matumizi ya ardhi, biashara, na sera za kitaifa kwa maeneo ya wafugaji, hasa nyika za ...
  • Mwandishi Hajulikani (Commission De L'ocean Indien, 2012)
    Uvuvi ni moja ya raslimali muhimu inayoongezeka ambayo nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika zinayo kwa ajili ya usalama wa chakula, maisha ya watu na kukua kwa uchumi. Hata hivyo juhudi zinatakiwa kufanyika kuhakisha ...
  • Mwandishi Hajulikani (EPINAV - SUA, 2013)
    Maziwa ni mojawapo ya vyakula vinavyohitaji uangalizi na usafi wa hall ya juu ili yasiweze kuharibika. Maziwa yanaweza kuharibika au kukosa ubora wake kwa Kama ng'ombe akamuliwaye ni mgonjwa, maziwa kuingia uchafu wakati ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account