Kwa ufupi:
Mhadhara juu ya uwepo wa sumu kuvu katika vyakula vya kuku - Sumu kuvu - kemikali za sumu (mycotoxins) za fangasi (kuvu) - kwenye vyakula. Zipo aina nyingi – aflatoxins ndio hatari zaidi ukanda wa kitropiki kama Tanzania. Fumonisins pia ni hatari. Mhadhara huu utajikita zaidi kwa aflatoxins