Kwa ufupi:
Ng’ombe wanafugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini pia hutoa mazao mengine kama
ngozi,mbolea na hutumika kama wangyama kazi. Zaidi ya asilimia95 ya ng,ombe na hutumika
kama wanyama kazi. Zaidi ya asilimia 95 ya ng’ombe wanaofugwa hapa nchini ni wa asili ambao
huzalisha nyama na maziwa kwa kiwango kidogo ikilinganishwa na wale wachache
walioboreshwa. Ng’ombe walioboreshwa wamegawanyika katika makundi mawili, wale
wanaofugwa kwa ajili ya nyama na wanaofugwa kwa ajili ya maziwa. Ili kuwawezesha ng’ombe
kuzalisha mazao bora ya nyama, maziwa na ngozi mfugaji anapaswa kufuata kanuni za ufugaji
bora ambazo ni pamoja na:-