Ghala la Taarifa na machapisho ya kilimo
Ghala hili,limebeba machapisho na taarifa mbalimbali za kilimo zilizo rahisishwa kwa matumizi ya wakulima, wafugaji, wavuvi, maafisa ugani na wadau wengine wa kilimo.
Jumuiya katika mkulima
Recently Added
-
Taasisi ya KIlimo Naliendele
(Taasisi ya KIlimo Naliendele, 2022-06-25)
-
Taasisi ya Kilimo Naliendele
(Taasisi ya kilimo Naliendele, 2022-06-25)
kifauongo ni mdudu aina ya kifukusi ambaye hushambulia mashina ya mikorosho yanapozidi huweza kuua mkorosho wote. jina la kifauongo hutokana na mbinu yake ya kujifanya amekufa mara anapohisi hatari. baada ya dalili ya ...
-
taasisi ya Kilimo Naliendele
(Taasisi ya kilimo Naliendele, 2022-06-25)
Blaiti ni moja ya magonjwa makubwa yanayoathiri uzalishaji wa korosho. Ugojwa huu unasababishwa na vimelea aina ya uyoga. Nchini Tanzania ulianza kuonekana mwaka 2004 na kwasasa umeenea katika maeneo mengi yanayolima korosho
-
taasisi ya Kilimo Naliendele
(Taasisi ya kilimo Naliendele, 2022-06-25)
Moja ya matatizo makubwa ya uzalishaji wa mazao ya mikorosho ni ugonjwa wa Ubwiri unga ambao husababishwa na vimelea aina ya kuvu na vimelea hizi huweza kusababisha upungufu wa uzalishaji kwa asilimia 70
-
Chuo Kikuu Mzumbe, Skuli ya Biashara
(Chuo Kikuu Mzumbe, 2018)
Kitabu hiki ni zao la uzoefu, kujifunza na utafiti wa miaka mitano katika sekta ya nyuki. Baada ya kufanya kazi na wajasiriamali katika sekta ya misitu na nyuki, fursa katika ufugaji-nyuki zilikuwa ni wazi. Hata hivyo, ...
View more