Ghala la Mkulima

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Salanje, Geoffrey F. (CTA, 2010-05-07)
    The recent outbreaks of Rift Valley Fever (RVF) caused only minor media interest- but the farmers and animals may not agree that the impact was "minor".
  • Undersander, D; Cosgrove, D (American Society of Agronomy Crop Science Society of America Soil Science Society of America, 2011)
    Alfalfa requires a well-drained soil for optimum production. Wet soils create conditions suitable for diseases that may kill seedlings, reduce forage yield, and kill established plants. You can reduce some disease problems ...
  • Undersander, D; Renz, M; Sheaffer, C (American Society of Agronomy Crop Science Society of America Soil Science Society of America, 2015)
    Kitabu kinachoelezea uzalishaji wa mmea huu wa alfalfa pamoja na faida zake kwa ujumla
  • Mwandishi Hajulikani (Jukwaa la Kilimo Tanzania, 2019-03)
    Kilimo Biashara cha Alfalfa Tanzania ni Kilimo Kamilifu (Comprehensive farming) yaani kilimo Shamba hadi Sokoni (From farm to fork), ni Kilimo kinachoangalia mzunguko mzima Wa kuongeza thamani kupitia mnyororo Wa uzalishaji. ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2008)
    Ufugaji wa kuku ni nyenzo nzuri ya kujipatia kipato katika kaya kwa sababu ufugaji wa kuku hauhitaji mtaji mkubwa na hauna kazi kubwa kiuendeshaji. Katika ufugaji huria kuku hujitafutia chakula wenyewe. Pia inapowezekana ...
  • Ufugaji bora group (Ufugaji bora group, 2024-10-11)
    Bata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha ...
  • Mwandishi Hajulikani (World Wildlife Fund, Inc, 2011-01)
    The purpose of this document is to provide better management practices (BMP) to producers to aid in efforts to seek compliance to the International Standards for Responsible Tilapia Aquaculture (ISRTA). It includes BMPs ...
  • Mwandishi Hajulikani (Livestock Feed LTD - Mauritius, 2017)
    Mwongozo wenye maelezo ya kiutaalamu juu ya mazingira, matunzo, mahitaji, madawa na vit vya msingi katika ufugaji wa kuku wa kisasa - broilers.
  • Mwandishi Hajulikani (Cobb-Vantress - USA, 2012)
    The Cobb Broiler Management Guide highlights critical factors that are most likely to influence flock performance and is part of our technical information service, which includes the Cobb Hatchery Guide, Technical Bulletins ...
  • Mwandishi Hajulikani (GALVMed, 2016)
    Ugonjwa wa Kideri (ama wengine huuita Mdondo) ni ugonjwa wa ndege wenye kuambukiza kwa kasi, ambao huathiri jamii nyingi za ndege wafugwao kama kuku, kanga na ndege wengine. Ugonjwa wa Kideri unaweza kuua kundi lote la ...
  • Chiwanga, Gaspar H.; Muhairwa, A. (Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine - SUA, 2017)
    Kitini kinachoelezeleza kwa ufupi magonjwa na kinga zake kwa maambukizi ya kuku.
  • Laswai, G. H.; Mutayoba, S. K. (SUA, 2002-01-23)
    Balancing feeds for monogastric animals requires reliable information with regard to the nutritional values of the available feed resources. Such information is limited for Tanzanian feedstuffs. In most cases feed formulations ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili - EPINAV, 2012)
    Kipeperushi kinachoelezea ugonjwa wa kiwele
  • Ibrahim, C. (Kilimo Blog, 2019-06-23)
    : Idadi kubwa ya wafugaji hawatilii maanani umuhimu wa nafasi, ukubwa na idadi ya wanyama wanaopaswa kuwa ndani wakati wa ujenzi wa mabanda. Hujenga mabanda madogo kiasi cha kuwanyima uhuru wanyama kuzunguka ndani ...
  • Mwandishi Hajulikani (CENTRAL POULTRY DEVELOPMENT ORGANISATION (SOUTHERN REGION) -India, 1998)
    Ducks occupy an important position next to chicken farming in India. They form about 10% of the total poultry population and contribute about 6-7% of total eggs produced in the country. Ducks are mostly concentrated in the ...
  • Wizara ya Afya, T (Shirika la Afya Duniani, 2017-03-13)
    Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari, na unasababishwa na virusi vinavyojulikana kama Lyssavirus.
  • Magembe, A. (Ukulima wa kisasa, 1993-09)
    Kilimo na ufugaji wa ngombe,mbuzi au kondoo ni shughuli ambazo zina manufaa mengi kwa mkulima,kwani zinategemeana sana.Mkulima ambaye pia ni mfuaji hunufaika zaidi kuliko yule asikuwa na mifugo:na mfugaji naye pia hunufaika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Commission De L'ocean Indien, 2012)
    Uvuvi ni moja ya raslimali muhimu inayoongezeka ambayo nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika zinayo kwa ajili ya usalama wa chakula, maisha ya watu na kukua kwa uchumi. Hata hivyo juhudi zinatakiwa kufanyika kuhakisha ...
  • Mwandishi Hajulikani (MSD Animal Health Research - Holland, 2013)
    The first edition of Intervet’s “Important Poultry Diseases” was in 1972 and still it is one of our most wanted publications. An easy to handle and practical booklet for basic understanding of the most important poultry ...
  • Mwandishi Hajulikani (ALCOM/FAO/SUA, 1984)
    Jarida hili linajumuisha kwa pamoja majarida matatu; Jinsi ya kutengeneza bwawa lako la samaki, Jinsi ya kulisha samaki wako na Jinsi ya kutunza bwawa lako la samaki yaliyotolewa na ALCOM kwa matumizi ya jimbo la mashariki, ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account