Mkulima

Uwasilishaji hivi karibuni

  • Globalpublishers, Globalpublishers (Globalpublishers.co.tz, 2020-01)
    kilimo Bila Udongo,katika teknolojia hii, kinachofanyika ni kujua ili mmea uweze kumea, kukua na kutoa mazao, huwa unahitaji virutubisho na madini gani katika ardhi? Ukishajua mahitaji hayo, basi zinatafutwa kemikali zenye ...
  • Muungwana Blog (Muungwana Blog, 2018)
    Magimbi ni kinga na pia ni tiba kama ambavyo nitakueleza leo faida za magimbi.
  • Mwandishi Hajulikani (Mjasiriamali Hodari, 2018-02)
    Nyanya chungu ni zao jamii ya mbogamboga linalotumika kwa matumizi mengi kama mboga, dawa n.k. Zao hili hustawi maeneo yenye halijoto tofauti tofauti nchini Tanzania.
  • Uly Clinic (Uly Clinic, 2020-04-05)
    Mayai ni aina ya chakula muhimu kwa binadamu, huwekwa kwenye kundi la vyakula vyenye protini. Mbali na kuwa na protini mayai ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, B12 na D, kolesto kwa wingi na madini ya lutein na zeaxanthin ...
  • Timu ya Medicover (Timu ya Medicover, 2024-08-05)
    Kuku ni chakula kikuu katika lishe nyingi ulimwenguni, sio tu kwa utangamano wake na ladha yake, lakini pia kwa faida zake za lishe. Miongoni mwa faida hizo ni vitamini na madini muhimu ambayo kuku hutoa, ambayo huchangia ...
  • Wizara ya afya na ustawi wa jamii (Taasisi ya chakula na lishe, 2014)
    Unyonyeshaji wa maziwa ya mama una faida nyingi na unachangia kwa kiasi kikubwa, katika afya na maendeleo ya mtoto, pamoja na afya ya mama. Unyonyeshaji unaboresha afya ya mtoto kwa kumpatia chakula kinachohitajika kwa ...
  • Ufugaji bora group (Ufugaji bora group, 2024-10-11)
    Bata mzinga ni bata ambao wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha ...
  • Karafuu 
    Muungwana Blog. (Muungwana blog, 2016-10-02)
    Karafuu ni zao linalotokana na mkarafuu, ingawa karafuu hazimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu sana kwa maisha ya binadamu.Mikarafuu ilianza kupandwa kwenye visiwa vya Shelisheli, ...
  • Swahili BBC (Swahili BBC, 2022-12-26)
    Mwani wa bahari 'Chondrus crispus' ni mwani wa kuliwa unaokua katika maeneo ya pwani ya Atlantiki, pamoja na yale ya Uropa na Amerika Kaskazini, na pwani ya Afrika. Kama magugu mengine ya baharini, ni chanzo tajiri cha ...
  • SUA (SUA, 2022-09)
    Wafugaji nchini Tanzania wametakiwa kuanza kulima majani aina ya JUNCAO yanayozalishwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kutokana na majani hayo kuonekana kuwa na faida nyingi kwa mifugo na uwezo wake wa kukua ...
  • Swahili BBC (Swahili BBC, 2024-04-13)
    Ukwaju unajulikana zaidi kwa matumizi yake katika vyakula hasa katika maeneo ya Asia, Amerika Kusini, visiwa vya Caribean na Afrika. Vilevile ukwaju ni maarufu katika uponyaji. Hutumika kupunguza maumivu, kutuliza usumbufu ...
  • Uly Clinic (Uly Clinic, 2020-11-29)
    Tikitimaji au tikiti-maji ni tunda la mtikiti-maji lenye maji na nyama ambalo huchangia kutoa ngaziya juu ya vitamini, madini n.k. Matikitimaji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au mbogaboga inayotambaa. Mimea hiyo ...
  • Kituo cha ushauri nasaha, Lishe na afya (Kituo cha ushauri nasaha,Lishe na afya, 2006-08)
    Lishe bora ni muhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi vya UK1MWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani ...
  • TARP II-SUA Project (TARP-Sua, 2003)
    Nyanya ni moja ya mazao ya mbogamboga muhimu Tanzania hususan katika wilaya ya Muheza. Zao la nyanya humwongezea mkulima kipato na kuboresha lishe ya mlaji. Pamoja na faida zake hizi. zao la nyanya ni la msimu na ...
  • Matanzania blog, Mtanzania.co.tz (Mafatanzania blog/Mtanzania.co.tz, 2024-03)
    Kampuni ya ITO EN LTD, ambayo ni kampuni tanzu ya Tully’s Co. Ltd., inayomiliki migahawa maarufu ya Tully’s Coffee, imezindua aina tatu mpya za kahawa ya Tanzania, nchini Japan katika hafla iliyofayika jijini Tokyo tarehe ...
  • Wizara ya mifugo na uvuvi (Wizara ya mifugo na uvuvi, 2020)
    Sungura wako katika kundi la mamalia wadogo katika familia ya Leporidae ya oda ya Lagomorpha .Kuna aina zaidi ya 45 za sungura duniani kote ambazo zinatofautiana kulingana na rangi ukubwa pamoja na matumizi.Sungura hutupatia ...
  • Kuku site (Kuku site, 2024)
    Mlo kamili wa kuku ni mlo wenye virutubisho vyote muhimu anavyohitaji kuku kwa kiwango na uwiano sahihi, Virutubisho vinavyohitajika katika mlo wa kuku ni kama ifuatavyo: 1.Wanga (carbohydrates) Wanga hutumika kama ...
  • Kuku site (Kuku site, 2024)
    Banda la vifaranga ni muhimu liandaliwe vizuri. Andaa banda/chumba (brooder room) utakachokitumia kwa ajili ya kulea vifaranga kiwe na sifa zifuatazo: • Hewa ya kutosha. • Mwanga wa kutosha • Chanzo cha joto ...
  • Chuo Kikuu cha kilimo cha Sokoine, Food Land (SUA, 2024-03)
    Kitabu hichi kimezungumzia mambo mbalimbali kama Maandalizi ya ardhi,namna bora ya upandaji, aina ya maharage na sifa zake na virutubisho vinavopatikana kwenye maharage.
  • Mbega, Daniel (Maendeleo Vijijini, 2017-03)
    KWA miaka mingi ndizi ndilo zao kuu la chakula mkoani Kagera, na sasa limekuwa zao la biashara kwa baadhi ya wilaya kama Karagwe na Muleba. Ndizi zinasafirishwa kwa wingi kwenda mikoa mingine ndani na nje ya Kanda ya Ziwa ...

View more