Lyamchai, C. J; Kweka, E. S; Mwikari, M. M; Kingamkono, M. N; Wambugu, C
(World Agroforestry Centre - ICRAF, 2005)
Kaliandra (Calliandra calothyrsus) ni mmea aina ya mikunde wenye asili ya Amerika ya Kati na Mexico. Ulipandwa mara ya kwanza nchini Indonesia kwa ajili ya kivuli katika mashamba ya kahawa, lakini kwa sasa mti huo umeonyesha ...