Kwa ufupi:
Kuanzia magonjwa, kutokufuga jike na dume wa ukoo mmoja (Inbreed), kuzuia
kupandwa jike mapema na kuwachinja sungura waliokomaa, inatakiwa kujenga kizizi
au kitundu.
Maelekezo kabla ya kujenga kizizi
i. Mfugaji yampasa kujenga kitundu au kizizi imara hata kama angetumia gharama
kubwa, lakini ujenzi huo utatu-mika kwa sungura wengi na kwa muda mrefu.