Kwa ufupi:
Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kwa upande wa HARSHO FEEDS tupo tayari kumhudumia mfugaji wa kuku kwa kumpatia chakula na utaalamu sahihi.
Katika uleaji wa vifaranga kuna tofuati kati ya vifaranga wa nyama na wale wa mayai hasa katika chanjo na lishe.