Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Taasisi ya utafiti wakilimo Tanzania (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo kituo cha Ironga, 2016-02)
  • TARI (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, 2022-03)
  • Taasisi ya utafiti wakilimo Tanzania (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo kituo cha Ironga, 2011)
  • Taasisi ya utafiti wakilimo Tanzania (Taasisi ya Utafiti wa Kilimo kituo cha Ironga, 2016)
  • Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo Sua, 2022-05)
    Zao la karafuu ni kiungo maarufu kinachotumika duniani kote. Asili ya Zao la mkarafuu ni Indonesia, India, Pakistan na hata maeneo ya nchi za Afrika Mashariki kama Zanzibar. Maeneo mengine ya Tanzania yanayoweza kulima ...
  • Wizara ya Kilimo (Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2011-07)
    Ndugu wakulima, kupata chakula cha kutosha na kilicho bora kwa kila mwananchi ni suala gumu ambalo linahitaji mipango na mikakati mizuri ya serikali kupitia Wizara husika. Moja ya tatizo kubwa linalowakabili wananchi ...
  • Lucas, Paul (2016-11)
    Mdalisini ni kiungo kizuri ambacho hutumika kuongeza ladha nzuri katika vinywaji na vyakula. Zao hili hulimwa kama zao la biashara. Ili mkulima aweze kupata mavuno mengi na yenye ubora hana budi kuzingatia kanuni ...
  • Wizara ya Kilimo (Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2012-10)
    Ndugu wakulima; sote tunaelewa kwamba ili kupata chakula kilicho bora na cha kutosha mbinu mchanganyiko na mikakati ya utumiaji mzuri wa mbolea unahitajika. Njia hii inamsaidia mkulima kurutubisha ardhi na kupata mazao ...
  • Wizara ya Kilimo (Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2016-07)
    Kabla ya jamii kushirikishwa katika uhifadhi wa maliasili misitu eneo la Jozani na ghuba ya chwaka, Ndugu Simai alieleza kwamba Serikali pekee ndio iliyokuwa ikilinda rasilimali hizo zilizozungukwa na vijiji tisa vyenye ...
  • Wizara ya Kilimo (Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2013-10)
    Ndugu wakulima, kupata chakula cha kutosha na kilicho bora kwa kila mwananchi ni suala gumu ambalo linahitaji mipango na mikakati mizuri ya serikali kupitia Wizara husika. Matatizo makubwa yanayowakabili wananchi ni ...
  • Wakala wa vyuo vya mafunzo ya mifugo (Rita, 2023)
    Malisho ni eneo la ardhi ambapo wanyama huchungwa.Kawaida wanyama hula nyasi katika eneo la malisho. Kuna aina kuu mbili za malisho nano ni (a) Malisho ya asili (b) Malisho ya kupandwa Malisho ya asili ni ...
  • Rioux, Janie; Laval, Elizabeth (FAO, 2012)
    Kilimo ni nguzo muhimu katika uchumi na maendeleo ya Taifa hususani vijijini na kinachangia zaidi ya asilimia 95 ya mahitaji ya chakula nchini. Sekta ya Kilimo imeajiri zaidi ya asilimia 78 ya Watanzania wote; na pia ...
  • Mtanzania Digital; Patricia, Kimelemeta (Mtanzania Digital, 2017)
    Shayiri ni zao la nafaka, linalotokana na nyasi zikuazo kwa mwaka‘Hardeum vulgare’ shayiri hutumika hasa kulishia mifugo huku kiasi kidogo kikitumika kutengenezea vileo(Bia na vinywaji vingine) na kwenye chakula chenye nguvu
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (Tari, 2023)
    Mbaazi ni zao jamii ya mikunde,faida kubwa ya zao hili ni chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama. Linavumilia ukame. Hupunguza umaskini kwani zao hili ni chanzo cha mapato kwa kaya. Hurutubisha ...
  • Sanchez, Monica (Sokoine university of agriculture, 2023-02-21)
    Wakati hali ya joto inapoanza kuwa juu sana, hakuna kitu bora kuliko kujificha chini ya mti, kwani chini yake kuna hali ya hewa ya baridi. Hii si hivyo tu kwa sababu majani huzuia miale ya jua kugonga ardhi, lakini pia ...
  • Tango 
    Bennet (Sokoine university of agriculture, 2023-09-20)
    Hii leo nitaongelea tunda la tango na madhumuni zaidi ni katika kumsaidia mbwa jike kukausha maziwa. Inaweza kutokea mbwa watoto wake wamekua na kuacha kunyonya au watoto wakafariki wakati bado wadogo mara baada ya kuzaliwa, ...
  • Lasway, Octavian J (2022-07-20)
    Jua kali utakabiliana nalo kwa kujua aina ya udongo ulionao mfano kama udongo wako unahifadhi sana maji na jua kali lipo ila bado uhifadhi wamaji ni mkubwa hapa utapaswa kukabiliana na hali hii kwa kumwagilia mara moja ...
  • Kinsey, Erwin (echo community, 2023)
    ECHO hivi karibuni alifanya kazi kwa kuanzisha mpango katika eneo linalokusanya maji na kuharibiwa katika jamii karibu na ofisi ya ECHO Arusha, na pia pamoja na Church World Service na MAP International katika Karamoja, ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo (Tari, 2023)
    Mbegu ya mchikichi ina kokwa gumu ambalo linazuia mbegu kunyonya maji ili iweze kuota. Hali hii husababisha mbegu kuwa na ubwete (seed dormancy) yaani hali ya kushindwa kuota. Hivyo ili uweze kuotesha lazima uvunje ubwete ...
  • Mogriculture Tz (Sokoine university of agriculture, 2023-02-28)
    Pilipili hoho kama linavyotambulika kitaalamCapsicum annuumni zao la mboga mboga lenye asili ya Amerika ya Kusini ambako lilisambaa mpaka sasa kulimwa katika maeneo mengi duniani yenyehali ya hewatofauti.Hapa Tanzania ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account