Ghala la Mkulima

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Uzalishaji Mazao Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Department of Agriculture, forestry and Fisheries - South Africa, 2016)
    Mangosteen originates in the Sunda Island (Brunei, East Timor, Indonesia and Malaysia) and the Moluccas or Spice Islands (Indonesia) in tropical Asia. Originally from Malaysia, it was spread to the Philippines, Burma and ...
  • Mwandishi Hajulikani (Agricultural Research Institute - ARI Uyole, 2018)
    Common bean (Phaseolus vulgaris) plays a principal role in the livelihoods of smallholder farmers in Tanzania as food security crop and source of income. It is the leading leguminous crop, accounting for 78% of land under ...
  • Tume ya Taifa ya umwagiliaji (Tume ya Taifa ya umwagiliaji, 2021-10-15)
    Umwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada ...
  • Mwandishi Hajulikani (Philip Morris International, 2023)
  • Mwandishi Hajulikani (Economic and Social Research Foundation - REPOA, 2012)
    Kwa nia ya kupambana na viashirio vya uhaba wa chakula ambavyo zaidi husababishwa na hali mbaya ya hewa, Serikali imekuwa na sera ya kuzuia uuzaji wa aina kuu za vyakula nje ya nchi. Hufanya hivyo kwa kisingizio ...
  • Mwandishi Hajulikani (Baraza la Taifa la Biashara Tanzania - TNBC, 2009)
    Tamko la Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), ambapo chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lilifanya mkutano tarehe 2 na 3 mwezi Juni 2009 jijini Dar es Salaam, ...
  • Bamia 
    Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Mwongozo juu ya ulimaji na uchaguaji mbegu na aina bora ya bamia kwa ajili ya kupata mavuno bora na uvumilivu wa wadudu.
  • Mwandishi Hajulikani (Seeds of Expertise for the Vegetable Sector of Africa - SEVIA, 2017)
    Maelezo juu ya ulimaji wa bilinganya na uchaguzi sahihi wa mbegu na aina za bilinganya.
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-04-22)
    Binzari ya manjano katika majiko ya nchi zote za Asia Kusini, ikiwa ni pamoja na India na Pakistan. Lakini je binzari manjono hutumiwa kwa ajili ya ladha ya chakula au inaweza kuboresha afya na kuzuwia saratani? Utakuta ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-12-02)
    Biringanya ni moja ya vyakula ambavyo ni maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupikwa kama mboga katika maeneo mengi ya Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa kama kifurahisha kinywa (snack).
  • Boga 
    chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Sokoine University of Agriculture, 2022-10-31)
    Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. ...
  • Oei, P; Nieuwenhuijzen, B (Agromisa Foundation, 2008)
    Kulima bustani za uyoga ni shughuli inayotimiza kikamilifu kilimo endelevu na zipo faida kadhaa: ? Taka na makapi ya mazao hutumika vema. ? Uzalishaji wa juu kwa kila meta mraba wa ardhi huwezekana. ? Baada ya kuvuna ...
  • Mwandishi Hajulikani (Starke Ayres, 2014)
    The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia and has developed ...
  • Carrots 
    Mwandishi Hajulikani (2000)
    The carrot (Daucus carota L.) belongs to the family Apiaceae. It is related to celery, celeriac, coriander, fennel, parsnip and parsley, which are all members of this family. The carrot originated in Asia. Initially the ...
  • Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2022-02)
    Chakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-10-04)
    Pengine umesikia kuhusu uhandisi jeni wa vyakula (GMO) na unaweza ukawa unajiuliza inahusu nini, hapa tunakueleza. Kenya wiki hii imeidhinisha kilimo na uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba, (GMO) na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo cha Mipango na Maendeleo ya Jamii - IRDP, 2014)
    Mradi huu umefadhiliwa na Umoja wa Ulaya na ni mfano wa utendaji bora katika kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kuwezesha jamii kufanya majaribio, tathmini na kutumia mbinu 26 za ubunifu kukabiliana ...
  • Babili, H. I (Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza - ICE (SUA), 2017-08)
    Kipeperushi kunachoelezea ugonjwa wa nyanya "Kanitangaze"
  • Agriculture, U.S. department (U.S. DEPARTMENT OF AGRICULTURE., 1975-04-30)
    The most effective control measures for raspberry and blackberry diseases are those taken before the diseases become serious. Varieties adapted to a locality and resistant to the major diseases should be planted, if ...
  • Mwandishi Hajulikani (Adama-Agan Ltd, 2014)
    COTTORAN ni kiua gugu cha kuua magugu aina ya majani mapana kwenye pamba. Cottoran inatumika kwenye maandalizi ya shamba kuzuia magugu kabla ya kupanda , na hata baada ya kupanda ila kabla mbegu hazijaanza kuota ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account