Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-12-02)
    Biringanya ni moja ya vyakula ambavyo ni maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupikwa kama mboga katika maeneo mengi ya Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa kama kifurahisha kinywa (snack).
  • Korosho 
    Mradi wa mafunzo ya wakulima (Wizara ya kilimo, 1983)
    Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ...
  • Shubrook, Nicola (Shirika la chakula duniani, 2022-11-04)
    Viazi vitamu (Ipomoea batatas) ni mboga ya mizizi yenye wanga, yenye ladha tamu. Ngozi yake ya nje ni nyembamba na kahawia na nyama yake ina rangi angavu, mara nyingi rangi ya machungwa, lakini pia nyeupe, zambarau au ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 1992)
    Mimca inapokuwa shambani hufyonza virutubisho vya mimea kutokaudongoni. Kali ya virutubisho hivyo, vilivyo muhimu zaidi ni nitrojeni, fosforasi, potasi, kalisi na feri. Mimea hutumia virutubisho hivyo kwa kukua, kuzaa, ...
  • Boga 
    chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Sokoine University of Agriculture, 2022-10-31)
    Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. ...
  • Wizara ya kilimo (Wizara ya kilimo, 2023-07-13)
    Kulingana na wataalamu, zabibu ina vitamini C mara nne zaidi kuliko vinywaji vingi vya juisi wakati oksidi pia hupatikana ndani yake.Zabibu pia inaweza kutumika kwa madhumuni ya matibabu katika siku zijazo. Virutubisho ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Ufuta ni zao la biashara ambalo hutumika kama chakula cha binadamu.Mbegu zake hutumika kutengeneza vyakula mbalimbali kama kashata, mikate, tui,bwimbwi, mashudu yake hutumika kulisha mifugo.Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2021-06-25)
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    1.0 Utangulizi. Muhogo ni miongoni mwa mazao makuu ya chakula richini Tanzania. Inakadiriwa kuwa tani milioni lino (5) za muhogo mbichi zinazalishwa hapa nchini kwa mwaka. Kanda zinazoongoza kwa uzalishaji ni Kanda ya ...
  • Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele (Taasisi ya utafiti wa kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Viazi vitamu ni miongoni mwa mazao muhimu ya chakula nchini Tanzania. Zao hili hustawi karibu mikoa yote hapa nchini Tanzania. Kwa uzalishaji, viazi vitamu vinashika nafasi ya nne baada ya Mahindi, Muhogo na Maharage. Viazi ...
  • Mtama, Leonard (Sokoine university of agriculture, 2023-11-25)
    Kitabu hiki kitaangazia sehemu ya hapo awali, ili kutoa maelezo kuhusu kuambatanisha miti na mimea mingine katika kuimarisha mazao na kuendeleza uhai-anuai. Ni muhimu kufahamu kwamba ...
  • wizara ya kilimo (Sokoine university of agriculture, 2023-12-01)
    Wakulima wa pamba ni wadau wakuu katika sekta ndogo ya pamba huku mchango wao ndio unaotegemewa zaidi kuiinua tasnia ya pamba. Pamba inalimwa na wakulima wadogo wenye mashamba ya ukubwa wa kuanzia ekari 1 hadi ekari 10.Sehemu ...
  • Kusolwa, P.M, (Kituo cha utafiti wa kilimo, 2023-11-14)
    Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa kwenye bustani au shambani. Hii ni sehemu mama katika uzalishaji wa miche, na huchukua eneo dogo tu la shamba. Eneo hili ni muhimu kwa ajili ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Food safety standard, 2023-11-08)
    Sumu za asili ni misombo ya sumu ambayo huzalishwa na viumbe hai. Sumu hizi hazina madhara kwa viumbe wenyewe, lakini zinaweza kuwa sumu kwa viumbe vingine, ikiwa ni pamoja na wanadamu, wakati wa kumeza Misombo hii ya ...
  • Kihara, Job (Africa Rising, 2022-10)
    Mbili-Mbili ni mkakati wa kilimo mseto cha nafaka na mikunde unaohusishaupandaji wa mazao matatu yenye ukuaji na mpangilio tofauti shambani. Tekinolojia hii ilitengenezwa kwa mfumo wa utafiti wa Afrika katika uimarishaji ...
  • Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2020-04-24)
  • Sanchez, Monica (Bostani On, 2023-10-06)
    Mimea ya sumu majumbani ni mimea ambayo huwa inavutia,asili ni nzuri ila ni hatari sana. Kufurika kwa maisha, na rangi, na kutoa sauti za ajabu ambazo zinakusafirisha kupita zamani sana, wakati wanadamu walikuwa hawajawahi ...
  • wizara ya kilimo (Sokoine university of agriculture, 2023-11-18)
    Mmbono kwa kitaalam Jatropha curcas ni mti jamii ya nyonyo wenye mbegu zitoazo mafuta yenye sifa kama nyonyo.Huota kwenye maeneo ya nyanda kame na yenye upungufu wa rutuba. Mmea hauliwi na mifugo wala wanyama pori na ...
  • Msengi, Zabron (2011-02)

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account