Kwa ufupi:
Mbegu ya mchikichi ina kokwa gumu ambalo linazuia mbegu kunyonya maji ili
iweze kuota. Hali hii husababisha mbegu kuwa na ubwete (seed dormancy) yaani hali ya kushindwa kuota. Hivyo ili uweze kuotesha lazima uvunje ubwete kwa
kutumia joto. Kuna aina mbili ya uoteshaji.