Kwa ufupi:
Malisho ni eneo la ardhi ambapo wanyama huchungwa.Kawaida wanyama hula nyasi katika eneo la malisho. Kuna aina kuu mbili za malisho nano ni
(a) Malisho ya asili
(b) Malisho ya kupandwa
Malisho ya asili ni yale ambayo nyasi zimeota zenyewe bila kupandwa na huwa na mchanganyiko wa nyasi.
Malisho ya kupandwa ni yale ambayo hupandwa na huwa kuna aina nyingi za nyasi za kupandwa.