Kwa ufupi:
Mdalisini ni kiungo kizuri ambacho
hutumika kuongeza ladha nzuri katika
vinywaji na vyakula. Zao hili hulimwa
kama zao la biashara. Ili mkulima aweze
kupata mavuno mengi na yenye ubora
hana budi kuzingatia kanuni sahihi za
kilimo.
Miti hudumu shambani zaidi ya miaka
20 na huendelea kuchipua na kutoa
Cysticercus Cellulosae (CC): Minyoo hatari kwa binadamu
machipukizi mengine kila baada ya
kuvuna ikiwa na faida mbalimbali
kama vile gharama ndogo ya uzalishaji.
Mazao yaweza kuhifadhiwa kwa muda
mrefu, udhibiti kidogo wa magonjwa
na wadudu. Ni rahisi kuchanganya
na mazao mengine, nguvu kidogo
hutumika na kipato kikubwa.