Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Horti (Sokoine university of agriculture, 2017-07)
    Wadudu na magonjwa limekuwa tatizo kubwa kwa wakulima wengi na kusababisha uzalishaji mdogo wa mazao. Kupambana na tatizo hili mkulima anashauriwa kutumia mimea mbalimbali ya asili kwa kutengeneza dawa au viuatilifu ili ...
  • Tumbaku 
    Morris, Philip (Philip Morris International, 2019)
    Tumbaku ndio sehemu kuu ya bidhaa zetu. Aina tatu za tumbaku ni Virginia,burley na mashariki.Tumbaku hizi zinalimwa katika zaidi ya nchi 30 zikiwemo Argentina, Brazili, China, Ugiriki, Italia, Malawi, Msumbiji, Uhispania,Tanzania, ...
  • Sanchez, Monica (jardineriaon, 2021-04-30)
  • Mwandishi Hajulikani (WorldVeg and HORTI, 2017-07)
  • Mwandishi Hajulikani (Philip Morris International, 2023)
  • SUA (SUA, 2023-03-21)
    Zipo namna mbalimbali za utengenezaji wa bwawa la samaki, kulingana na aina ya bwawa lenyewe.
  • SUA (2023-03-21)
    Njegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia katika maeneo ya ukanda wa juu. Spishi kadhaa za njegere ni: • njegere kubwa (chickpea) • njegere ya kizungu (common pea) ...
  • SUA (2023-03-21)
    Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo ...
  • Msengi, Zabron. M; Kitenge, Kheri.M (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2023-03-21)
    Kitabu cha mwongozo wa kilimo cha mahindi
  • Chuo kikuu cha Sokine cha kilimo (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2023-03-22)
    Tangawizi ni aina ya zao la kiungo ambalo sehemu inayotumika ni tunguu ( rhizome) ambalo huonekana kama mizizi ya mmea. Asili ya zao hili ni maeneo ya kitropiki ya bara la Asia na hasa katika nchi za India na China. ...
  • Wizara ya Kilimo, Idara ya Maendeleo ya Mazao Chakula na Ushirika (Colour Print (T) Ltd, 2006)
    Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa katika nchi mbalimbali duniani. Nchi zinazolima kwa wingi ni pamoja na ...
  • Tasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI, 2023-03-21)
    Mtama ni zao lenye uwezo mkubwa wa kustahimili ukame ukilinganisha na mazao mengine ya nafaka . kutokana na sifa hiyo, mtama una fursa kubwa ya kuzalishwa kwa wingi zaidi kama zao la chakula kuziba nafasi ya mazao mengine ...
  • Ricc, Silvia; Mwasenga, Scola; Nyenza, Oscar; Mtonda, Shabani; Kadinda, Hans; Nyenga, Pima (Sokoine university of agriculture, 2012)
    Bonde la Mto Kilombero ni eneo tajiri na lina rutuba tele. Rutuba na wingi wa maji unatokana na kuwa jirani na Misitu ya Milima ya Udzungwa.Mazao makuu katika bonde hili ni miwa, mpunga, mahindi, matunda na ...
  • Kituo cha utafiti wa kilimo Uyole (Kituo cha utafiti Ilonga, 2011-04)
    Mkulima anapata mavuno kidogo ya mtama kutokana na sababu zifuatazo . Kutotumia mbegu bora na za muda mwafaka za mtama . upungufu wa mvua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa . Kupungua kwa mbolea katika mashamba ya ...
  • SUA (2023-03-13)
    Njegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia katika maeneo ya ukanda wa juu. Spishi kadhaa za njegere ni:• njegere kubwa (chickpea) • njegere ya kizungu (common pea) ...
  • SUA (SUA, 2023-03-21)
    Bilinganya imo katika jamii ya mimea inayohusisha nyanya, pilipili, viazi mviringo na nyanya mshumaa. Mboga hii ina viini lishe muhimu kama vile madini aina ya chokaa na chuma, Vitamini A, B na C, wanga, protini na maji. ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2021-11)
    Nanasi ni tunda la kitropiki, linalopendwa na walaji wengi kwa sababu ya ladha yake tamu na harufu yake nzuri. Tunda hili laweza liwa mara tu baada ya kuvunwa, baada ya kulipika, au kama juisi. Nanasi ni chanzo kizuri cha ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2016)
    Kilimo cha vitunguu maji ni muhimu sana hapa Tanzania. Vitunguu vinaweza kutumika kama zao la chakula au la biashara kwa aina zote za wakulima, wakubwa na wadogo. Zao la vitunguu linazalishwa kutokana na mbegu, na miche ...
  • Bodi ya tumbaku (Bodi ya tumbaku tanzania, 2022-11-23)
    Tumbaku huzalishwa kwa ajili ya majani yake,majani ya tumbaku yanapo komaa huvunwa na tumbaku hutumika hasa kutengeneza sigara.Aina za tumbaku zinazo limwa Tanzania ni tumbaku ya mvuke (VFC) na tumbaku ya moshi (DFC). ...
  • Bodi ya nyama Tanzania (Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, 2016-04)
    Nyama bora ni ile iliyo laini, yenye unyevunyevu, yenye wastani wa kiasi cha mafuta yaliyochangan- yika katika minofu na yenye rihi ya kuvutia wakati wa kupika. Nyama hii ina rangi nyekundu angavu, misuli yake haijakaza ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account