Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Tanzania, 2018-04)
Rosella ni mmea wenye virutubisho vingi kama vitamini na madini ya chumvi chumvi. Hutumika kutengeneza juisi, jam, jellies, sauces na mvinyo(pombe). Rosella hutumika kama kinga ya mwili na magonjwa kama saratani, ini na ...