Kwa ufupi:
Uyoga ni mmea aina ya “kuvu* ambao huota kama
vijimelea. Uyoga unatofautlana na mlmea mlnglne kwa
kukoaa chembe chembe za kloroflli zinazowezeaha mmea
kujitengpnezea chakula chake wenyewe kwa kutumla hewa
ya karbonldioksaidi. Uyoga huhitaji diakula
kilichotengenezwa layari na mlmea mlnglne au wanyamj,
kwa inform, lakataka za mabaki ya mazao ya msfanu ulioptta,
majani yaliyopukutika kwenye mltU nyaai kavu, magogo
yaliyokauka na yanayoanza kuoza n.k. Uyoga hutoa aina za
vlmeng'enyu vinavyusaidla kuyeyuaha na kusaga maaalla ya
mazao 111 kujipatia chakula chake. Uyoga unaojiotea
wenyewe haulofaullani na ule unaooteahwa kltaalamu.