Kwa ufupi:
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilinio (SUA) kwa
kushirikiana na Wizara ya Kilinio na Uhakika wa Chakula
(MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha kilinio cha Norway
(NLH). kinaiekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na
Palo la Kaya kwa Wakulinia Wadogo wadogo Tanzania.
Lengo mojawapo katika mradi huu ni kuimarisha uhusiano
kali ya Wakulinia, Watafiti na Washauri wa Ugani. Hi
kufikia lengo hili, mradi umepanga ularatibu wa
kuwawezesha wakulima kulembeleana ndani ya kanda zao
na kali ya kanda na kanda.
Makala hii inawasilisha ripoti ya ziara moja iliyofanyika
mwishoni mwa mwezi Aprili 2002. Ziara hii
iliwashirikisha wakulima na washauri wa ugani kutoka
wilaya ya Morogoro Vijijini, waliowatcmbelca wakulima
wa viungo mbali mbali wa Amani. wilaya ya Muheza.
Tanga. Taarifa hii pia inapatikana katika lugha ya
Kiingereza.