Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Mmbando, Frank (Tari, 2003)
    Choroko ni zao jamii ya mikunde, ni zao la chakula na biashara. Choroko hustawi katika udongo wa aina tofauti usiotuamisha maji. Hustawi zaidi kwenye ukanda wa chini na wa kati, yaani mita 0 hadi 1500 kutoka usawa wa bahari, ...
  • Taasisi ya KIlimo Naliendele (Taasisi ya KIlimo Naliendele, 2022-06-25)
  • Taasisi ya Kilimo Naliendele (Taasisi ya kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    kifauongo ni mdudu aina ya kifukusi ambaye hushambulia mashina ya mikorosho yanapozidi huweza kuua mkorosho wote. jina la kifauongo hutokana na mbinu yake ya kujifanya amekufa mara anapohisi hatari. baada ya dalili ya ...
  • taasisi ya Kilimo Naliendele (Taasisi ya kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Blaiti ni moja ya magonjwa makubwa yanayoathiri uzalishaji wa korosho. Ugojwa huu unasababishwa na vimelea aina ya uyoga. Nchini Tanzania ulianza kuonekana mwaka 2004 na kwasasa umeenea katika maeneo mengi yanayolima korosho
  • taasisi ya Kilimo Naliendele (Taasisi ya kilimo Naliendele, 2022-06-25)
    Moja ya matatizo makubwa ya uzalishaji wa mazao ya mikorosho ni ugonjwa wa Ubwiri unga ambao husababishwa na vimelea aina ya kuvu na vimelea hizi huweza kusababisha upungufu wa uzalishaji kwa asilimia 70
  • Shirika la Kilimo Duniani (FAO) (Shirika la Kilimo Duniani (FAO), 2019-07-17)
    Kaya zinazojihusisha na kilimo zinahitaji sera wezeshi za umma ili ziweze kuendana na kustawi katika mazingira ya sasa yanayobadilika kila uchao, amesema Mkurugenzi Mkuu wa shirika la chakula na kilimo duniani, FAO José ...
  • Karanga 
    wizara ya kilimo (Sokoine university of agriculture, 1987)
    Karanga ni zao zuri sana ambalo hutumika kama chakula na mafuta pia,karanga hupandwa sehemu tofauti nchini Tanzania.karanga hupandwa kwa kufuata kanuni zifuatazo kabla ya kupanda, chagua mbegu ambazo hazishambuliwi na ...
  • Wetzels, Hans (Shirika la Kilimo Duniani (FAO), 2021-06-04)
    Mamlaka ya eneo la Afrika Mashariki imeanza kupendekeza ukuzaji wa mazao ya biashara kama parachichi na kahawa ili kuongeza mauzo ya nje ya Kenya kwa Umoja wa Ulaya na Uchina. Wakati huo huo, wakulima wa ndani wanajipanga ...
  • Inades Formation Tnzania (Sokoine university of agriculture, 1994)
    Karanga ni moja ya mazao ambayo yana kiasi kikubwa cha mafuta hadi kufikia asilimia 30.Punje ya karanga pia ina kiasi kikubwa cha protini hadi kufikia asilimia 44.Hivyo karanga zinaweza kutoa hivi viini lishe mbalimbali.Faida ...
  • Shubrook, Nicola (Shirika la chakula duniani, 2022-11-11)
    Chungwa ni tunda la mchungwa. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck kwenye familia ya Rutaceae. Tunda lifahamikalo kisayansi kama Citrus sinesis huitwa chungwa tamu ili ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 2009)
    Katika kundi la mazao ya mizizi, viazi mviringo ni maarufu na vina umuhimu wa pekec. Ni zao la chakula na biashara katika nchi nyingi zilizocndclca na zinazocndclea. Zao hili ni moja ya mazao manne ya chakula yanayozalishwa ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-10-04)
    Pengine umesikia kuhusu uhandisi jeni wa vyakula (GMO) na unaweza ukawa unajiuliza inahusu nini, hapa tunakueleza. Kenya wiki hii imeidhinisha kilimo na uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba, (GMO) na ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-04-22)
    Binzari ya manjano katika majiko ya nchi zote za Asia Kusini, ikiwa ni pamoja na India na Pakistan. Lakini je binzari manjono hutumiwa kwa ajili ya ladha ya chakula au inaweza kuboresha afya na kuzuwia saratani? Utakuta ...
  • Braun, M (Kituo cha utafiti wa kilimo Ukiriguru, 1995)
    Viazi vitamu ni mojawapo ya vyakula ambavyo hutumika sana nchini, watu wengi hutumia kama kitafunwa cha asubuhi,Pia wengine hutumia kama chakula ambapo hupikwa kama mlo wa kawaida wakati wa mchana au usiku.Hivyo basi kuna ...
  • Taasisi ya chakula na lishe (Taasisi ya chakula na lishe., 2022-12-03)
    Kitunguu saumu ni kiungo muhimu katika kaya nyingi kwenye mapishi. Pia kinajulikana kwa sifa zake za dawa. Mtaalamu wa Lishe Kerry Torrens anaeleza kwa nini? Kitunguu saumu ni moja ya mimea ya zamani zaidi duniani na ni ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-11-25)
    Tangawizi ni nini? Tangawizi ni ya familia moja kama manjano na iliki. Asili ya Asia ya Kusini-Mashariki, India na China, tangawizi ni sehemu ya lishe ya eneo hili na inathaminiwa kwa harufu yake, upishi na dawa. Ingawa ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-11-02)
    Kiungo maarufu katika sehemu nyingi za dunia, giligilani ni shujaa asiyejulikana wa vyakula vya Kihindi. Na sasa mpishi mmoja anataka kukifufua, akiipa giligilani "utukufu unaostahili". Ukichunguza ndani ya viboksi vyovyote ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2018-09-07)
    Kumeshuhudiwa kuibuka suala la umuhimu wa kula mboga katika miaka ya hivi karibuni hasa kutokana na wasi wasi kuhusu afya zetu, harakati za wateteaji wa haki za wanyama na mazingira. Walaji mboga tu ni wale ambao hawali ...
  • Nyanya 
    Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-03-17)
    Gramu 80 za nyanya hutoa karibu 5% ya mahitaji ya kila siku ya potasiamu ya mtu mzima. Ulaji wa vyakula vyenye potasiamu husaidia mtumiaji dhidi ya ugonjwa wa kiharusi na inaweza kuhusishwa na kiwango cha chini cha ugonjwa ...
  • Ngeze, Pius B (Tanzania Educational Publishers Ltd, 2010)
    Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, huslawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account