Ghala la Mkulima

Utafutaji Matumizi Bora ya Ardhi Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

Utafutaji Matumizi Bora ya Ardhi Kwa tarehe ya kutolewa kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Myoya, T.J (Shirika la kilimo Uyole, 1990-05)
    Katika Nyanda za Juu za Kusini ni Mikoa miwili tu (Iringa na Mbeya) ambayo idadi ya ng'ombe wa maziwa imeongezeka sang. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa mradi wa kushughulikia wafugaji wadogo wadogo kati ya nchi ya Uswisi ...
  • Inades-formation, Tanzania (INADES-FORMATION TANZANIA., 1990-07-19)
    Ni asubuhi na mapema Bwana shamba anakutana na Matonya akiwa na shoka beganiJ hengo mkononi na kibuyu cha maji. Hiki ni kipindi cha kiangazi Miti imepNkutisha majani nyasi na vichaka vyote vimekauka majani ...
  • Gilla, Alli (Inades Formation Tanzania, 1993)
    Kwa muda mrefu wazee wetu wamekuwa wakitegemea kilimo. Mahitaji yao yote yamekuwa yakitokana na mashamba yao na misitu. Hawakuwa na shida kubwa ya chakula au kuni Leo hii mabadiliko mengi yametokea. Watu wameongezeka ...
  • CFU-Tanzania (CROPBASE (T) L, 1996)
    Japokuwa kitengo cha Kilimo Hifadhi (CFU) hakihimizi matumizi ya Viua Magugu vya aina fulani au Viuatilifu vingine vya kukinga mimea, wakulima wanafahamu kuwa Viua Magugu vikitumika kwa usahihi aidhaa kwenye Kilimo Hifadhi ...
  • Lyimo-Macha, J. G; Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. P (TARP II - SUA Project, 2001)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula, pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...
  • Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. P (TARP II Project - SUA, 2002)
    In the Southern Highlands zones, within zone exchange visit was carried out from April 14 to 19, 2002. In this visit, farmers, extension agents and researchers from Kyela rice growing areas visited their counterparts ...
  • Lyimo-Macha, J. G; Malimbwi, R. E; Kiranga, E; Kawamala, P (Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo Tanzania - TARP II - SUA Project), 2002-09)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Utafiti wa Kilimo, Mikocheni & Kituo cha Ut afiti wa M azao Uyole, 2003)
    Kipeperushi kinachoelezea mbolea ya Minjingu kama ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mradi wa Hifadhi na Usimamizi wa Misitu Tanzania - TFCMP, 2006-09)
    Kati kati ya mwaka 2002, wakulima 1128 waliokuwa wakiishi sehemu ya kaskazini mashariki ya Tanzania, kwenye miteremko mikali ya milima ya Usambara Mashariki, waliambiwa kwamba mazao katika mashamba yao madogomadogo katika ...
  • Kado, Clarence I. (Califonia Agricultural, 2008-09-18)
    Virus diseases are probably responsible for the mosaic and necrotic symptoms in orchids that are often blamed on other disorders. This circular discusses the four viruses of orchids that have been identified thus far: ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira, 2009)
    Jarida hili linatolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira kwa lengo la kutoa elimu na kujenga uelewa wa jamii na wadau mbalimbali kuhusu uhusiano uliopo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2009-12)
    Kujifunza kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ni muhimu kwa wakulima kwa sababu ya athari wanayoweza kuwa nayo kwenye kilimo. Wakulima wanaweza kutarajia kiasi cha joto kilichopanda na dhoruba za mara kwa mara, mafuriko ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Waziri Mkuu, 2010)
    Kufuatia kukamilika kwa Awamu ya Uandaaji wa Maboresho Julai 2008, MKURABITA iliingia katika awamu yake ya Tatu ambayo ni Utekelezaji wa Maboresho. Menejimenti ya MKURABITA ilianza kwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo ...
  • Mwandishi Hajulikani (The Green Belt Movement, 2010)
    Kijitabu hiki kimetengenezwa na Shirika la FHI 360 likishirikiana na Green Belt Movement kama sehemu ya tathmini kwa afya ya umma. Green Belt Movement ina lengo la kulinda mazingira ikiwa ni pamoja na uongozi mzuri kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (2010)
    Wote tunaiona wazi: watu wameongezeka, miji imekua, mifugo imeongezeka, mashamba mengi zaidi .... Vilevile uharibifu zaidi wa ardhi, uharibifu wa misitu, mmomonyoko wa udongo .... Migogoro mingi zaidi kati ya wakulima ...
  • Fabian, Beatha; Eliseus, Gogfrey (HAKIARDHI, 2011-01-06)
    Mfumo wa milki ya ardhi nchini Tanzania umefanyiwa maboresho makubwa kuanzia miaka ya tisini kwa kutunga sera ya ardhi ya taifa ya mwaka 1995 iliyofuatiwa na sheria mpya za ardhi namba 4 na sheria ya ardhi ya vijiji namba ...
  • Wizara ya Kilimo (Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2011-03)
    Ndugu Wakulima; sote tunakubaliana kwamba kilimo cha umwagiliaji maji ndio mkombozi wetu kwa ukulima wa mpunga, umuhimu wake umezidi kuwa mkubwa kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na hali ya hewa yanayotokea duniani ...
  • Wizara ya Kilimo (Wizara ya Kilimo Srikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Zanzibar, 2011-06)
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, 2011-08)
    Mwongozo huu wa upitishaji wa Sheria Ndogo katika ngazi ya Kijiji umetokana na Sheria za Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya Sura 287 toleo la 2002 pamoja na Sera ya Serikali ya kugatua madaraka kwa kukabidhi kazi, haki, ...
  • Mwandishi Hajulikani (FIBL, 2012)
    Wasiwasi unatanda kuhusu uendelevu wa muda mrefu wa sekta ya kilimo. Ardhi yenye rutuba na maji ya kutosha ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza kilimo na kaya. Hata hivyo, katika bara la Afrika uzalishaji unaotokana na ardhi ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account