Ghala la Mkulima

Utafutaji Matumizi Bora ya Ardhi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Matumizi Bora ya Ardhi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Acaccia 
    sarmiento, lourdes (Sokoine university of agriculture, 2023-09-16)
    Acacia ya Constantinople Ni mti wa asili katika bara la Asia . Inaweza kupima hadi mita12, ingawa ni nadra kwake kuzidi mita 6-7 katika kilimo. Haina ukuaji wa haraka sana au polepole sana, badala yake kiwango cha ukuaji ...
  • Mwandishi Hajulikani (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar - SMZ, 2012)
    Utafiti huu wa athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa uchumi Zanzibar umetoa tathmini ya athari kubwa za mabadiliko ya tabianchi kwa visiwa hivi,njia muhimu za kuweza kukabiliana nazo na fursa ya kupunguza ongezeko la ...
  • Arcoya, Encarni (Sokoine university of agriculture, 2023-09-23)
    Bonsai ya maporomoko ya maji kwa kweli ni mti mdogo unaojulikana na ukweli kwamba shina limeinama kuelekea msingi wa sufuria., kwa namna ambayo matawi na majani yanakua chini, na kufanya sufuria hizi zinapaswa kuwa katika ...
  • Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. P (TARP II Project - SUA, 2002)
    In the Southern Highlands zones, within zone exchange visit was carried out from April 14 to 19, 2002. In this visit, farmers, extension agents and researchers from Kyela rice growing areas visited their counterparts ...
  • Mwandishi Hajulikani (Equator Initiative: Environment and Energy Group - United Nations Development Programme - UNDP, 2012)
    Hifadhi ya Asili ya Amani ilitangazwa kisheria na Serikali ya Tanzania katika gazeti la serikali mwaka 1997, ikiwa na lengo la kuihifadhi bayoanuwai ya Milima ya Usamabara Mashariki. Safu ya Mashariki ya Milima ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara, 2015-06)
    Chama Cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society) ni chama kilichoanziahwa na Sheria ya Bunge ya 1954 Sura Na.307. Kwa mujibu wa sheria hiyo, Chama kinawajibu wa kuisaidia serikali katik amasuala yahusuyo sheria na ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira, 2009)
    Jarida hili linatolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR), Idara ya Mazingira kwa ufadhili wa Mradi wa Umaskini na Mazingira kwa lengo la kutoa elimu na kujenga uelewa wa jamii na wadau mbalimbali kuhusu uhusiano uliopo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Farm Radio International - FRI, 2009-12)
    Kujifunza kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa ni muhimu kwa wakulima kwa sababu ya athari wanayoweza kuwa nayo kwenye kilimo. Wakulima wanaweza kutarajia kiasi cha joto kilichopanda na dhoruba za mara kwa mara, mafuriko ...
  • Lukalo, F; Dokhe, E (FAO, 2017)
    Kwa zaidi ya miaka miwili baada ya kuzinduliwa kwa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Februari 2013, hatua nyingi zimepigwa za kuboresha usimamizi wa ardhi nchini Kenya. Kuchapisha kitabu hiki ni ufanisi unaohitaji kusherehekea kwa ...
  • CFU-Tanzania (CROPBASE (T) L, 1996)
    Japokuwa kitengo cha Kilimo Hifadhi (CFU) hakihimizi matumizi ya Viua Magugu vya aina fulani au Viuatilifu vingine vya kukinga mimea, wakulima wanafahamu kuwa Viua Magugu vikitumika kwa usahihi aidhaa kwenye Kilimo Hifadhi ...
  • Myoya, T.J (Shirika la kilimo Uyole, 1990-05)
    Katika Nyanda za Juu za Kusini ni Mikoa miwili tu (Iringa na Mbeya) ambayo idadi ya ng'ombe wa maziwa imeongezeka sang. Hii ni baada ya kuanzishwa kwa mradi wa kushughulikia wafugaji wadogo wadogo kati ya nchi ya Uswisi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Afrika Kontakt, 2017)
    La Via Campesina na Afrika Kontakt tunakiri kuwa tuko nyuma sana katika kukabiliana na tatizo linalotukabili la mabadiliko ya tabianchi. Sehemu kubwa ya tatizo bado haijatatuliwa, ambayo ni mifumo yetu ya kiulimwengu ya ...
  • Gilla, Alli (Inades Formation Tanzania, 1993)
    Kwa muda mrefu wazee wetu wamekuwa wakitegemea kilimo. Mahitaji yao yote yamekuwa yakitokana na mashamba yao na misitu. Hawakuwa na shida kubwa ya chakula au kuni Leo hii mabadiliko mengi yametokea. Watu wameongezeka ...
  • Mwandishi Hajulikani (TFCG, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea kilimo chenye kutumia mbinu bora za kilimo zenye tija kwa mkulima na kuyalinda mazingira. Ni mfumo unaohusisha ulimaji / matumizi ya udongo na mazao kwa utaratibu ambao hupunguza mmomonyoko wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Tanzania Osaka Alumni - TOA, 2012)
    Maboresho ya Serikali za Mitaa Tanzania yamelenga katika utoaji bora wa huduma wa Serikali za Mitaa kwa kuzingatia sera za kitaifa za Serikali Kuu. Maboresho yamekaribisha ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ...
  • Mwandishi Hajulikani (Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Tanzania, 2018)
    Kitabu hiki cha mwongozo wa wawezeshaji wa mashamba darasa kitatumiwa na wawezeshaji hao kutoa mafunzo kwenye mashamba darasa na jamii zinazowazunguka. Kitabu hiki pia kinatoa mwongozo katika mafunzo ya ujenzi wa jiko ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, 2011-08)
    Mwongozo huu wa upitishaji wa Sheria Ndogo katika ngazi ya Kijiji umetokana na Sheria za Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya Sura 287 toleo la 2002 pamoja na Sera ya Serikali ya kugatua madaraka kwa kukabidhi kazi, haki, ...
  • Mwandishi Hajulikani (2010)
    Wote tunaiona wazi: watu wameongezeka, miji imekua, mifugo imeongezeka, mashamba mengi zaidi .... Vilevile uharibifu zaidi wa ardhi, uharibifu wa misitu, mmomonyoko wa udongo .... Migogoro mingi zaidi kati ya wakulima ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kilimo Hai Blog, 2018-06)
    Katika nchi yetu, wakulima wengi wameshazoea kutumia ng'ombe au punda kukokota plau au mkokoteni. Wanafurahi uzoefu huo kwa sababu wameshapata faida nyingi. Wakulima wengine bado wanasitasita kutumia ng'ombe wao kufanya kazi.
  • Mwandishi Hajulikani (Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania - MJUMITA na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2015-06)
    Misitu ni rasilimali muhimu sana ambayo nchi yetu imejaliwa. Inakadiriwa Tanzania ina misitu yenye ukubwa wa hekta milioni 48.1 ambayo ni sawa na asilimia 38 ya eneo lote la ardhi ya nchi yetu. Misitu hii hata ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account