Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • KAKUTE Limited, KAKUTE Limited, (KAKUTE Limited,, 2020-12)
    Mmea huu huitwa mbono pori au mchimba kaburi. Ni aina ya mti uotao na kustawi katika nchi za kitropiki. Una tabia za kustahimili ukame na huota katika maeneo yaliyoathirika kimazingira na yenye mmomonyoko wa udongo. Ukiota ...
  • Iman, Rubaba Imani October 27, 2018 ELIMU (Iman, 2018-10-27)
    Mbaazi ni zao la chakula ambalo pia linaweza kulimwa kama zao la biashara kutokana na kuwa na soko zuri. Mbaazi ina kiasi kikubwa cha protini.Mbaazi inaweza kutoa mavuno ya tani 6 hadi 8 kwa hekta
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2016)
    Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye asili ya Ethipia na Afrika ya magharibi. Kwa sasa zao hili linalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima ...
  • Idara ya malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2016)
    Malisho ni chakula cha msingi cha mifugo kinachojumuisha aina mbalimbali za nyasi na mikunde. Utunzaji wa malisho ni muhimu ili kuhakikisha kwamba mifugo inapata chakula bora na cha kutosha wakati wote. Ukuaji na ustawi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Tanzania na kilimo, 2017-10-02)
    Apple ni moja kati ya matunda yanoyo pendwa sana, na wengine wamefikia mbali hadi kulifanya apple kua tunda la ishara ya upendo, pia kuna aina mbili za matunda ya apple yaani yanoyo liwa bila kupikwa na yale ambayo ni ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2016)
    Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye asili ya Ethipia na Afrika ya magharibi. Kwa sasa zao hili linalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima ...
  • Idara ya ukuzaji viumbe maji (Wizara ya mifugo na uvuvi,, 2022)
    Mwani ni aina ya mimea inayoota na kukua kwenye maji chumvi (bahari) na maji baridi (mito, maziwa na mabwawa). Tofauti iliyopo kati ya mwani na mimea mingine inayokua kwenye nchi kavu ni kwamba mwani hautegemei mizizi ...
  • IBRAHIM (AGROVET, 2018-08-06)
    KILIMO BORA CHA DENGU : Dengu ni nafaka kama zilivyo nafaka zingine, ni zao la jamii ya mikunde pia ni zao la biashara, ni miongoni mwa zao muhimu sana la biashara ukanda wa ziwa kwa sababu ya thamani yake Kuwa juu sana, ...
  • Mwandishi Hajulikani (chuo kikuu cha sokoine cha kilimo, 2022)
    Kilimo cha maua ni sayansi au sanaa ya kukuza matunda, mboga mboga, maua, au mimea ya mapambo. ). Wafanyabiashara wa maua wanafahamu sana katika uwanja huu, lakini ufafanuzi wake kamili ungeenea zaidi ya kile tunachofikiri ...
  • Bodi ya korosho Tanzania (Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 2022-12-15)
    Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka- ma vile matumizi ...
  • Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2022)
    Korosho ni zao la biashara linaloweza kudumu kwa muda mrefu. Mti wa mkorosho huanza kutoa mavuno ifikapo miaka mitatu hadi minne baada ya kupandwa. Kadri umri wa mkorosho unavyo ongezeka, ndivyo mavuno yanavyoongezeka ...
  • Mwandishi Hajulikani (Rubaba, 2021-10-06)
    Tangawizi ni moja kati ya mazao ya iana ya tungulu(rhizome). na kwa jina la kitaalamu huitwa Zingiber officinale. Asili yake ni Asia yaan china, india na  japan na baadaye kusambaa katika mabara mengine kama amerika kusini ...
  • Mwandishi Hajulikani (chuo kikuu cha sokoine cha kilimo, 2022-02-04)
    Zao la vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo asili yake ni Kusini Mashariki ya Mexico na sehemu nyingine za Amerika ya Kati. Vanilla hulimwa katika nchi mbalimbali duniani. Nchi zinazolima kwa wingi ni pamoja na Madagascar, ...
  • Malekani, Andrew (Sokoine University of Agriculture, 2021-05-20)
    Nchini Tanzania viazi mviringo ni zao muhimu kwa chakula na biashara. Kwa uzalishaji, viazi mviringo ni zao la tatu baada ya mahindi na mpunga. Zao hili ni muhimu kwa usalama wachakula, kuboresha lishe, ajira na kuongeza ...
  • Malema, Beatus A (Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, 2016-08)
    Soya (Glycine max) ni zao la jamii ya mikunde. Zao hilo asili yakeGlycine max) ni zao la jamii ya mikunde. Zao hilo asili yakeGlycine max ni nchi ya China ambako lilianza kulimwa takribani miaka 4800 iliyopita. Zao la ...
  • Tume ya Taifa ya umwagiliaji (Tume ya Taifa ya umwagiliaji, 2021-10-15)
    Umwagiliaji ni mtindo wa kilimo cha kupelekea mimea maji shambani kwa kiwango kilichoruhusiwa pasipo kutegemea unyeshaji mvua. Umwagiliaji huenda pamoja na matupio (drainage), ambao ni uondoaji makusudi wa maji ya ziada ...
  • Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2022)
    Zao la karafuu ni kiungo maarufu kinachotumika duniani kote. Asili ya Zao la mkarafuu ni Indonesia, India, Pakistan na hata maeneo ya nchi za Afrika Mashariki kama Zanzibar. Maeneo mengine ya Tanzania yanayoweza kulima ...
  • Wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2022)
    Mkonge ni moja kati ya zao la biashara ambalo jina lake la kisayansi linaitwa Agave sisalana. Mikoa ambayo zao la mkonge linasitawi katika nchi ya Tanzania ni Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, ...
  • Christopher, S. (Appropedia, 2012-08-15)
    Uwele (Panicum miliaceum) ni nafaka na mbegu ndogo. Una virutubisho kwa wingi, ukiwa ni chanzo kizuri cha vitamin B na madini chuma. Unahusiana na mtama. Lakini una protini na nyuzinyuzi nyingi zaidi ya mahindi. Katika ...
  • Idara ya Ukuzaji Viumbe Maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2022-02)
    Chakula bora cha samaki ni hitaji muhimu katika ukuaji wa samaki. Matumizi ya chakula duni husababisha udumavu wa samaki. Kwa kawaida, bwawa lililorutubishwa, hutengeneza chakula cha asili ambacho ni nafuu na hupunguza gharama ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account