Uzalishaji Mazao: Recent submissions

  • Kato, Fred (ARI–Uyole,, 2021)
    Maharage ni za ambalo huzalishwa katika nchi za Afrika Mashariki na uzalishaji huo hukumbana na changamoto mbalimbali. Mojawapo ya changamoto hizo ni pamoja na wadudu, magonjwa na ukame. Teknolojia mpya za uzalishaji ...
  • Sanchez, Monica S (Publicdad, 2022-12)
    Ni tunda ambalo tunatumia kuandaa vinywaji, kupambana na wadudu na hata kupunguza pH ya maji ya umwagiliaji ikiwa ni kubwa sana kwa mimea yetu. Lakini ... leo ni wakati wa kujifunza jinsi ya kutunza mti wa limao, sio tu ...
  • Chuo kikuu cha Sokine cha kilimo (Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2022-11)
    Zao la karoti asili yake ni Asia ya Kati. Zao hili lilienea nchi za Ulaya kwa kupitia Bahari ya Mediterranean. Baadaye lilipelekwa Amerika Kusini na Kaskazini, kisha Afrika. Karoti hutumika kama kiungo cha mboga katika ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2022-01)
    Toleo hili lina makala kuhusiana na Kanuni za kilimo hai na mazingira, Matumizi bora ya ardhi - Ekari moja ya ardhi iliyopangiliwa huimarisha uchumi wa familia, Uchafu husababisha magonjwa ya ngozi kwa mifugo, Matumizi ...
  • Mwandishi Hajulikani (Biovision, 2021-12)
    Jarida la wakulima ambalo linatoa makala mbalimbali za kusaidiwa wakulima toleo hili lina makala juu ya ulaji wa matunda, kirutubisho cha EMAS, Malisho ya nguruwe, Uoteshaji wa majani ya malisho kwa mifugo, Ufugaji wa ...
  • Nguzo, Said H. (2022-03)
    Makala inayoelezea kwa kina juu ya Pilipili mbuzi ambalo ni zao linaloweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua (ingalau kiasi cha masaa 6 kwa siku) Pilipili hustawi ...
  • Mwilawa, Angelo (2016-11)
    Maelezo mafupi (swahili) yaliyokuwa yakitolewa wakati wa warsha ya Maabara ya Lishe kwa Mifugo Feed Dairy Lab yaliyokuwa yakifafanuliwa na Ndugu Angello Mwilawa (Mtaalamu na Mtafiti wa Malisho ya mifugo –TALIRI Mabuki) huko ...
  • Western Region, Agricultural Research Service (Washington, D.C., 1973-05-08)
    Grasshoppers are found in every part of the United States, but serious outbreaks seldom develop east of the Mississippi River; they occur mostly in the western two-thirds of the country. Grasshoppers often severely damage ...
  • CTA (CTA, 2006-10-27)
    Maize is the most important staple food in Eastern Africa. But yields on smallholder farms are often very low, typically just one quarter of what could be achieved. In a good year, using improved varieties with good ...
  • Ngeze, Pius B. (Tanzania educational publishers Ltd, 2007-07-26)
    Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Kwa kawaida viazi vitamu hustawishwa kwa kutumia mashina ambayo huitwa marando. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi ...
  • Agriculture, U.S. department (U.S. DEPARTMENT OF AGRICULTURE., 1975-04-30)
    The most effective control measures for raspberry and blackberry diseases are those taken before the diseases become serious. Varieties adapted to a locality and resistant to the major diseases should be planted, if ...
  • Idara ya uhusiano na elimu a wakulima mamlaka ya pamba Tanzania (kiwanda cha uchapaji cha taifa, 1999)
    PAMBA ni zao ambalo hustawi vizuri sana katika sehemu kubwa ya nchi yetu. Pamba hustawi katika udongo wa aina mbali mbali mradi tu maji yawe yanapenya kwa urahisi na usiwe na chachu (acidic) kwa wingi. Kiasi cha inchi ...
  • CTA (CTA, 2007-10-09)
    In Eastern Africa, reduced soil fertility has led to declining crop yields on many small-scale farms causing food insecurity and greater poverty. Throughout the region, soils are generally low in nitrogen and phosphorus ...
  • Ostberg, Wilhelm (UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, 1994-05-23)
    Mpango wa utafiti wa Binadamu na Mazingira Mikoa ya Kati Tanzania unaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Institute of Resource Assessment (IRA), Chuo Kikuu cha Dar es-salaam, nchini Tanzania, na Environment and Development ...
  • Kilimo hai -Tanzania, Kilimo hai (Kilimo hai Tanzania, 2018-03-14)
    Chai inasemekana ilianza kulimwa China na kusambaa japan, indonesia, india,malawi,uganda, sri lanka na kenya na Tanzania Tanzania chai inalimwa sana sana bukoba, iringa, kilimanjaro, mbeya na njombe. Inasemekana ...
  • Mwalyego, Frederica, S.; Myoya, Twalib; Kabungo, David; Musei, Ahazi (TARP II SUA Project, 2005-03-17)
    Kyela is one of the districts in Mbeya region occupying an area roughly between longitude 33 fahrenheit 40" and 30 fahrenheit 00" East and latitudes 9 fahrenheit 25 and 9 fahrenheit 40 South. Most district lowlying between ...
  • Laswai, Henry S. (Program ya PANTIL chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo, 2009-06-15)
    Soya ni zao linalopatikana katika mimea ya jamii ya mikunde ambayo inahusisha mazao mengine kama maharage, njugu mawe, mbaazi, kunde, fiwi, dengu na choroko. Zao hili linaaminika kuwa asili yake ni Asia ya mashariki. Mbegu ...
  • Mbapila, J. C.; Luzi-Kihupi, Ashura (TARP II-SUA Project, 2004-03-14)
    Zao la mpunga liliingizwa nchini Tanzania miaka mingi iliyopita na wafanyabiashara kutoka mashariki ya kati na India. Katika ukanda wa mashariki, kati na kusini mwa Afrika zao hili hulimwa kwa wingi nchini Madagascar na ...
  • Mkomwa, S. A.; Aboud, A.A.O. (Future opportunities and challenges in agricultural learning (FOCAL) programme, 2005-05-23)
    The future opportunities and challenges in agricultural learning (FOCAL) is a NORAD funded project coordinated at Sokoine university of agriculture. The primary mission of FOCAL is to support farmers efforts towards ...
  • Ibrahim (Farmers MARKET, 2018-12-08)
    Kilimo cha Giligilani (coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza na zao hili huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna. Giligilani hutumika kama kiungo cha chakula katika mapishi mbalimbali kama nyama, supu au mchuzi. ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account