Kwa ufupi:
Uzalishaji wa korosho duniani umekua ukiongezeka kila mwaka kutokana na jitihada zinazoendelea katika
nchi mbalimbali kufanya upanuzi wa maeneo ya kilimo cha korosho, pamoja na matumizi ya teknolojiaka-
ma vile matumizi ya mbegu bora. Aidha, katika bara la Afrika kumekuwa na jitihada za kuongeza ubanguaji
wa korosho pamoja na kuongeza uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na korosho.