Kwa ufupi:
Mkulima anapata mavuno kidogo ya mtama kutokana na sababu zifuatazo
. Kutotumia mbegu bora na za muda mwafaka za mtama
. upungufu wa mvua kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa
. Kupungua kwa mbolea katika mashamba ya wa kulima
. mashambulizi ya mimea kutokana na gugu chawi ,kuduha, wadudu , na magonjwa kama fugwe