Kwa ufupi:
Njegere ni mbegu za spishi za mimea katika jamii kunde ambayo hukuzwa sehemu mbalimbali za dunia katika maeneo ya ukanda wa juu. Spishi kadhaa za njegere ni:• njegere kubwa (chickpea)
• njegere ya kizungu (common pea)
• njegere sukari (snow pea and snap pea)