Kwa ufupi:
Mtama ni zao lenye uwezo mkubwa wa kustahimili ukame ukilinganisha na mazao mengine ya nafaka . kutokana na sifa hiyo, mtama una fursa kubwa ya kuzalishwa kwa wingi zaidi kama zao la chakula kuziba nafasi ya mazao mengine ambayo yameathiriwa na ukame unaosababiswa na mabadiliko ya tabia ya nchi