Kwa ufupi:
Wadudu na magonjwa limekuwa tatizo kubwa kwa wakulima wengi na kusababisha
uzalishaji mdogo wa mazao. Kupambana na tatizo hili mkulima anashauriwa kutumia
mimea mbalimbali ya asili kwa kutengeneza dawa au viuatilifu ili kusaidia kufukuza au kuua
wadudu waharibifu wa mazao shambani pamoja na kudhibiti magojwa ya mimea hasa kwenye
mazao ya mbogamboga.