Kwa ufupi:
Zao la mpunga liliingizwa nchini Tanzania miaka mingi iliyopita na wafanyabiashara kutoka mashariki ya kati na India. Katika ukanda wa mashariki, kati na kusini mwa Afrika zao hili hulimwa kwa wingi nchini Madagascar na Tanzania inafuatia.