Malekani, Andrew(Sokoine University of Agriculture, 2021-05-12)
Alizeti hutambulika kitaalamu Kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo
yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini
hasa katika mikoa ya Shinyanga, ...
Mwaka uliopita umekuwa na ongezeko la shughuli katika Idara ya Uboreshaji wa
zao la kahawa. Majaribio zaidi yameongezwa, mbegu chotara kuendeleza aina bora
zimezalishwa, na watafiti waliokuwa masomoni kwa Shahada ya ...
Parachichi (Persea americana) ni mti, mrefu unaosemekana asili yake
ni Kusini Kati mwa nchi ya Mexico. Tunda la mmea, pia linaitwa parachi
(au avocado pear au alligator pear), ni asili ya mmea wa tunda kubwa
linalokuwa ...
Kituo cha utafiti wa Kilimo Makutupora(Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Ukanda wa Tropiki (IITA),, 2019)
Karanga ni zao lenye viini lishe vya protini na mafuta kwa wingi. Mabaki ya mimea ya
karanga pia yana viini lishe vya protini, hivyo ni chakula kizuri cha mifugo.Karanga pia huboresha rutuba ya udongo kwa kuongeza kiasili ...
Maerere, A.P(Sokoine University of Agriculture, 1996)
UTANGULIZI
Kilimo cha bustani kinahusika na uzalishaji wa mazao ya aina ya
mboga, matunda, viungo na mimea ya mapambo. Kilimo cha
bustani ni chanzo cha ajira na pato kwa wakulima na watu
wengine. Mboga na matunda ...
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania(TARI, 2020-04-01)
Zabibu ni zao muhimu la biashara katika mkoa wa Dodoma. Zao hili likitunzwa vizuri kwa kufuata kanuni bora za kilimo, huweza kumpatia mkulima mavuno mengi na bora na kumuwezesha mkulima kupata kipato cha kutosha pamoja na ...
Kilimo cha Migomba, ni kilimo ambacho kina manufaa mengi hasa kwa wakulima, hususani katika nchi za Afrika na ukanda wa jangwa la sahara.kitabu hiki kimejikita zaidi katika kueleza namna yakufanya palizi, umuhimu wa ...
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta.
Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya
Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na
kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine
mbali mbali, ...
Mtega, Wullystan(Sokoine University of Agriculture, 2021-05-16)
Shughuli za kilimo huhusisha uzalishaji wa kumbukumbu tofauti. Kumbukumbu hizo hutokana na malipo mbalimbali yafanywalo shambani na shughuli za uzalishaji shambani. Kumbukumbu za kifedha hurekodi gharama za uwekezaji za ...
Malekani, Andrew(Sokoine University of Agriculture, 2021-05-15)
Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa mbinu bora za uzalishaji wa Zabibu kwa mkulima wa
kawaida, pia tumetumia lugha rahisi ili kumuwezesha mkulima kuelewa kwa urahisi, pia
kimetumia michoro mingi ili kumsaidia mkulima kuona ...
Kahawa ni zao ambalo liko katika kundi la mimea yenye ghala mbili, linalotoa matunda yake kwa msimu, kahawa pia ni zao la biashara linaloliingizia taifa fedha nyingi za kigeni. Ni la pili baada ya Tumbaku. Kinywaji chake ...
Kilasi, Newton(Sokoine University of Agriculture, 2020-05-14)
Mpunga ni moja ya zao muhimu zaidi la chakula katika Afrika Mashariki. Nchini Tanzania
mpunga unashika nafasi ya pili baada ya mahindi. Zao hili la chakula na biashara hulimwa kwa
wingi katika mikoa ya Shinyanga, Mbeya, ...
Mliga, Hekima(Sokoine University of Agriculture, 2021-05-13)
Nyanya ni miongoni mwa mazao ya mboga yanayozalishwa nchini Tanzania.Nyanya imewekwa katika kundi la mboga za matunda sababu kuu ni kwamba tundalake ndiyo sehemu ya mboga inayotumika kwa chakula.Takwimu zinaonyesha kwamba ...
Iliki ni moja kati ya mazao ambayo yanatumika sana karibia kila siku kwenye matumizi ya
nyumbani,utumika kama viungo kwenye chakula na pia utumika kama tiba ya magonjwa
mbalimbali.na pia ni mmea mfupi ambao unatoa matunda ...
Kutumia kilimo hai katika kilimo
cha ndizi kunachangia katika
uzalishaji endelevu na udhibiti wa
magonjwa na wadudu na huweza
kuleta mavuno mengi
Kulingana na Shirikisho la kimataifa la harakati za kilimo hai (IFOAM, ...
Nchini Tanzania zao la nyanya hulimwa karibu katika mikoa yote hasa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro, Iringa, Mwanza, Dodoma, Tanga, Pwani na Mbeya. Nyanya ni zao la chakula na
biashara. Kilimo cha zao hili hufanyika ...
National Coconut Development Programme(Dar Es Salaam University Press, 1992)
Ili kupata mnazi ulio bora mkulima ni lazima awe muangalifu wakati wa kupanda. Mche uliopandwa vibaya huchelewa kukua na hata wakati mwingine hufa. Mazingira kama vile aina ya udongo, kiasi cha mvua, joto, na mwinuko lazima ...
Kilimo cha vitunguu maji ni muhimu sana hapa Tanzania. Vitunguu vinaweza kutumika kama zao la chakula au la biashara kwa aina zote za wakulima, wakubwa na wadogo.
Zao la vitunguu linazalishwa kutokana na mbegu, na miche ...
Vitunguu swaumu ni zao ambalo lipo katika jamii ya vitunguu na hufanana sana na vitunguu maji, zao hili linatumika sana duniani kama kiungo cha chakula na wengine hutumia kama dawa.