Kwa ufupi:
Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, huslawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji uko chini ya mahitaji ya soko. Uzalishaji kwa ckari au hektari na kwa mtimmoja uko chini. Hii inatokana na wakulima wengi kutojua na kutozingatia kanuni bora za kilimo cha zao hili. Aidha, jitihada za kufufua na kuboresha mashamba ya mikorosho haziridhishi.Kitabu hiki ni jitihada ya kueleza kanuni bora hizo kama mchango wa mwandishi katika kuieta mapindpzi ya kilimo cha
zao hili. Hii ni njia mojawapo ya kutekeleza Kilimo Kwanza katika Mikoa inayostawisha mikorosho.