Kwa ufupi:
Maziwa ni mojawapo ya vyakula vinavyohitaji uangalizi na usafi wa hall ya juu ili yasiweze kuharibika. Maziwa yanaweza kuharibika au kukosa ubora wake kwa Kama ng'ombe akamuliwaye ni mgonjwa, maziwa kuingia uchafu wakati wa kukamuliwa au utunzaji/ubebaji usipokuwa mzuri. Kipeperushi kinaelezea zaidi kwa undani