Katule, A. M; Mnembuka, B. V; Madalla, N; Lamtane, H; Mnubi, R
(PANTIL - SUA, 2010)
Ufugaji wa samaki huweza kufanyika kwa kutumia rasilimali zinazopatikana
katika mazingira ya mkulima na pia husababisha matumizi bora ya rasilimali za mkulima. Kitabu hiki kinasisitiza ufugaji mseto wa samaki, ikiwa na ...