Kwa ufupi:
Mada iliyowasilishwa katika semina - Chalinze iliyogusia - UMUHIMU WA UFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA KWA BINADAMU. Huongeza kipato (Familia Vs Taifa). Chanzo cha ajira. Huboresha lishe kwa binadamu. Huongeza upatikanaji wa mbolea (20kg/siku/ng’ombe). Rafiki wa mazingira. Huongeza fursa ya kupata mitaji. Huboresha utumiaji sahihi wa taka zisizofaa mfano mashudu ya alizeti.