Ghala la Mkulima

Usindikaji na Masoko

Usindikaji na Masoko

 

Wasilisha karibuni

  • Tume ya maendeleo ya ushirika. (Tume ya maendeleo ya ushirika., 2023-08-12)
    Tume kupitia Ushirika imefanikiwa kuboresha maisha ya wananchi kupitia shughuli wanazozifanya zinazowaingizia kipato kwa muunganiko wa Ushirika. Kwa mfano, wakulima wameweza kulipwa fedha zao za mazao kwa uharaka baada ya ...
  • Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania, 2023-06)
    Maelfu ya wakulima walionufaika na mpango wa ruzuku ya mbolea kwa msimu wa 2022/2023 wana hadithi ndefu ya kuwasimulia wenzao ambao hawakubahatika kujiunga na mpango huo. Mpango huu wa ruzuku ya mbolea umebuniwa na serikali ...
  • Mamalaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania, 2023-09)
    Katika harakati za kuimarisha kilimo, serikali ya Tanzania mwaka jana ilitenga shilingi bilioni 150 kama ruzuku ya mbolea kwa wakulima kuwasaidia waongeze uzalishaji na kupunguza makali ya bei ya bidhaa hiyo katika soko ...
  • Jamii forum (Jamii Forum, 2017-01)
    Mkonge au Katani ni moja kati ya zao la biashara Jina la kisanyansi inaitwa Agave sisalana. Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine, kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia ...
  • Mjasiriamali Hodari (Mjasiriamali Hodari, 2020-01)
    Zao la Pilipili kichaa 'Hot pepper' au 'Chilli pepper' (Capsicum frutescens) hulimwa maeneo mengi ulimwenguni ikiwemo nchini Tanzania. Matunda ya pilipili hutumika kwa matumizi mbali mbali kama chakula au kama tiba (medicinal ...
  • Jamii Forums (Jamii Forums, 2016-10-13)
    Kilimo cha maua ni sayansi au sanaa ya kukuza matunda, mboga mboga, maua, au mimea ya mapambo. ). Wafanyabiashara wa maua wanafahamu sana katika uwanja huu, lakini ufafanuzi wake kamili ungeenea zaidi ya kile tunachofikiri ...
  • Malekano, Godfrey (Soko la bidhaa Tanzania (TMX), 2020-09-04)
    Zao la dengu ni moja ya mazao muhimu katika kuinua pato la mkulima nchini Tanzania, hivyo katika msimu wa202012021, Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa kushirikiana na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Tume ...
  • Muhura, Chiraka (Haki Elimu, 2021)
    Nchi nyingi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kwa mfano, zimejaliwa raslimali ambazo zinaweza kub- adilishwa kuwa mali. Lakini suala ni jinsi ya kuzigeuza raslimali hizo ili kuwa vitu halisi. Elimu isiyofaa imeelezwa kuwa ...
  • PANTIL (SUA, 2008-06-25)
    Sokoine University of Agriculture (SUA) through the FOCAL (Future Opportunities and Challenges in Agricultural Learning) Programme in 2005 commissioned studies to survey job markets, assess training needs and conduct tracer ...
  • Lyimo-macha, Dk.J.G; Malimbwi, Prof R. E; Kiranga, Bw.E.; Kawamala, Bw.P (2015)
    Katika kitabu cha bajeti ambacho ni cha kwanza katika seti hii ya USIMAMIZI WA FEDHA ulijifunza jinsi ya kutayarisha bajeti Uliona kuwa matayaisho ya bajeti ni hatua ya kwanza ya kupanga matumizi ya fedha za mradi ili ...
  • Jamhuri ya Muungano wa T anzania, Wizara ya Kilimo na Chakula (Wizara ya Kilimo na Chakula., 2003-08-07)
    Mazao jamii ya mikunde yanayolimwa hapa nchini ni maharage, soya, kunde na mbaazi. Sifa kubwa ya mazao haya ni kuwa na kiwango kikubwa cha protini nyingi na uwezo wa kuongeza naitrojeni kwenye udongo. Uzalishaji wa mazao ...
  • Mtega, Wullystan (Sokoine university of A griculture, 2020-05-20)
    Mkulima anatakiwa kutafuta soko la mazao yake kabla hajaanza shughuli ya uzalishaji shambani. Ili kupata taarifa za kutosha, mkulima anashauriwa kufanya utafiti wa soko. Mkulima anaweza tumia njia kuu mbili: (i) kuandaa ...
  • Mabula (Emanueli Mabula, 2020-07-16)
  • Denis, Marco,D. (Kilimo foram, 2017-05-12)
    Wakulima wengi huingia hasara kubwa pale mazao yao yanapoharibika kwa kukosa masoko. Kufahamu michakato ya ukaushaji mazao utawawezesha kuyaweka katika hali ya kutoharibika na hivyo kuweza kutumiwa kwa muda mrefu. Pia ...
  • Denis, Marco D. (Muungwana blog, 2016-01-22)
    Siku zote usipokuwa na juhudi na maarifa maisha ni magumu sana, lakini unapojituma na kutokukata tamaa, ni wazi utapata mafanikio. Jambo la msingi ni kujifunza mambo mbalimbali na kutenda kwa vitendo. Ndivyo alivyoanza ...
  • Denis, Marco D. (2016-06-05)
    Leo hebu tuongelee kuhusu Usindikaji wa viazi hivi na bidhaa mbalimbali kutokana na viazi vitamu rangi ya chungwa. Lakini kumbuka kwamba lazima uzingatie kiwango cha Carotene kisipotee. Ili Kuhifadhi kiwango cha karotini, ...
  • Fam Radio Internationa, Fam Radio Internationa (2020-05)
    Kutokana na kuzuiwa watu kutembea katika nchi nyingi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa sababu ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19), masoko mengi ya vyakula halisi yamefungwa au kuzuiwa. Hii inathiri wachuuzi, ...
  • Razack, O. M; Lyimo-Macha, J. G (TARP II-SUA Project, 2002-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo, kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogowadogo ...
  • Msangi, R. O; Malimbwi, R. E (TARP II-SUA Project, 2002-06)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula, na Chuo Kikuu cha Norway cha Kilimo, kinatekeleza mradi wa Utafiti wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima Wadogo wadogo ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mitiki Blogspot, 2009-12)
    Mihogo mibichi iliyovunwa huoshwa mara mbili. Uoshaji wa kwanza ni ule wa kuondoa udongo baada ya kuvuna, na uoshaji wa pili ni baada ya kumenya mihogo kabla ya kukausha.Baada ya kuoshwa mihogo humenywa kwa kutumia kisu ...

View more