Ghala la Mkulima

Matumizi bora ya zana za Kilimo

Matumizi bora ya zana za Kilimo

 

Wasilisha karibuni

  • Mashaka, R. I (Chuo cha kilimo cha Sokoine, 1995)
    Kitabu hiki kinampatia mkulima mbinu bora za kunyunyizia dawa kwenye pamba ili kuondoa vijidudu vinavyoharibu ukuaaji wa pamba. Pia jinsi ya kutumia zana za kilimo na mavazi sahihi wakati wa kunyunyizia dawa. Mkulima ...
  • Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023)
    Tekinoljia hii hupima uwepo wa unyevu nyevu ndani ya udongo, na kinapima kiasi cha mvutano ambacho mmea unatumia kupata maji kutoka kwenye udongo. Kina taa za rangi nne na hufukiwa ndani ya udongo ili kupima unyevunyevu.
  • Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023)
    Kanuni ya 97 ya kanuni za Umwagiliaji inaelekeza uundaji wa kamati ya usuluhishi wa migogoro yenye wajumbe wasiopungua 3 na wasiozidi 5 wali- ochaguliwa miongoni mwa wanachama. Wajumbe wa kamati ya usuluhishi watachaguliwa ...
  • Hella, Dk. J.P (PANTIL chuo kikuu cha sokoine cha kilimo, 2016-06-15)
    Kikundi cha wakulima ni chombo muhimu katika jamii, kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuleta mabadiliko ya kiuchumi hasa pale vinapoanzishwa kwa kuzingatia sheria na taratibu ambazo wanavikundi wamejiwekea. Mafanikio huwa ...
  • Mwaseba, Dismas L .; Mattee, Amon Z. (Program u ya PANTIL Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo Kurugenzi ya Utafiti na Uzamili, 2010-05-19)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeteke1eza tafiti zilizofadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika 1ao la NORAD kuanzia na TAN 90, TAN 20 na TARP - SUA, FOCAL na mwishowe PANTIL. Mradi wa PANTIL una lengo ...
  • Kilima, F. T.; Magayane, F. T. (EPINAV, 2012-06-10)
    The program of enhancing pro-poor innovations in natural resources and agricultural value-chain (EPINAV) is a Norwegian government supported initiative being implemented by SOKOINE UNIVERSITY of AGRICULTURE and a Norwegian ...
  • PELUM Tanzania (© PELUM Tanzania 2013, 2013-09-13)
    PELUM Tanzania ni mtandao wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali yanayofanya kazi na wakulima na wafugaji wadogo nchini Tanzania. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 1995 na kusajiliwa kisheria mwaka 2002. Kazi kuu ya PELUM ...
  • Media Net Ltd, T (Research Into Use, 2010-09-29)
    Mwongozo huu wa kuunganisha uhitaji na huduma za kilimo umeandaliwa kutokana na uzoefu na mafanikio ya Program ya Research Into Use,(RIU) katika mkoa wa Morogoro.
  • Dahman, Mohamed (DW, 2008-04-28)
    Wakati huu ambapo kuna wasi wasi mkubwa wa kimataifa kuhusu mustakbali wa upatikanaji wa chakula duniani haya ni matamshi yanayofaa kutafakariwa : ' Nafundisha watoto wa chuo kikuu kilimo na shughuli za mabwana shamba ...
  • Mwandishi Hajulikani (2013-11-23)
    Mabadiliko ya tabia nchi yanatarajiwa kuwa na athari kubwa katika uzalishaji wa chakula kote Afrika na duniani, na tayari inaweza kuwa yanachangia kuongezeka kwa ukosefu wa chakula na utapiamlo katika Afrika (FAO).
  • Kilimo Blog (Kilimo Blog, 2010-04-23)
    Mbolea za kukuzia ni mbolea zinzotumika kuupa mmea afya nzur na mavuno kuwa mazuri wakati wa kuvuna, mbolea hizi zikitumika vibaya pia huleta madhara makubwa kwa mlaji na ardhi kwa ujumla, zipo mbolea za aina nying lakin ...
  • Mwandishi Hajulikani (TARP II Project - SUA, 2003)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Chakula (MAFS), pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...
  • Mwandishi Hajulikani (EPINAV - SUA, 2013)
    Mojawapo ya kikwazo kikubwa kinachomkwamisha mkulima mdogo kulima kwa tija ni kumudu gharama za matumizi ya pembejeo za kilimo (mbolea na mbegu bora). Katika kuhakikisha Serikali ya Tanzania inamsaidia mkulima kumudu ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Utafiti wa Mazao Mikocheni & Kituo cha Utafiti wa Mazao Uyole, 2012)
    Kipeperushi kinachoelezea matumizi sahihi ya mbolea ya Minjingu katika ukulima wa mboga mboga.
  • Mwandishi Hajulikani (FAO, 2017)
    Mwongozo wa Kilimo Kinachohimili Mabadiliko ya Tabianchi umeandaliwa kutokana na nyaraka zinaoonyesha dhamira ya Serikali ya Tanzania za kufanya sekta ya kilimo iweze kuhimili mabadiliko ya tabianchi hadi kufikia mwaka 2030.
  • Mwandishi Hajulikani (TANZANIA FERTILIZER REGULATORY AUTHORITY, 2017)
    Bei elekezi za mboloea kutokana na vituo, mikoa, kanda na kwa njia ya usafirishaji kama zilizvyotolewa na Mamlaka ya Kusimamia Mbolea Tanzania.
  • Mwandishi Hajulikani (TARP II - SUA Project, 2011)
    Kipeperushi kinacholelezea jinsi ya kufunga hatamu za punda kwa akiwa mmoja au wengi kwa wakati mmoja.