Ghala la Mkulima

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Mwandishi Hajulikani (Farmer Africa, 2018-12-13)
    Mnyama huyu huaminika ndiye mwaminifu zaidi kati ya wanyama wote wanaofugwa nyumbani Kuna wale wanaomfuga pia kwa sababu humchukulia kama ‘kipenzi’ chao (pet). Je, wajua mbwa ni kitega uchumi kwa baadhi ya wanaomfuga? ...
  • Wakala wa Mafunzo ya Mifugo (Wizara ya Mifugo na Uvuvi, 2017-07-23)
    Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari kwa binadamu na wanyama wafugwa,na waporini. Ugonjwa huu hauna tiba na umeenea sehemu nyingi za Tanzania
  • Mwandishi Hajulikani (Ukulima wa kisasa, 1982-06)
    Kichaa cha mbwa ni ugonjwa wa hatari sana unaoleta vifo kwa binadamu na wanyama.Una dalili zinazoambatana na mishipa ya fahamu ambazo mwanzo huwa ni kuongezeka kwa furaha au hasira,kupoteza fahamu na mwishowe kupooza kwa ...
  • Clifford, Diana; walking, David; Muse, Alex (Amerika ya Kaskazini na mradi wa health for animal and liverhood improvement - Hali, 2011)
    Wanyamapori kwenye hifadhi ya wanyama wako chini ya mbinyo wa matishio mbalimbali kama vile ukame uwindaji haramu ujangili mioto na uharibufu wa makazi yao.Tishio jingine kwa wanyama pori ni ugonjwa.
  • Mwandishi Hajulikani (Shirika la kuhufdhi misitu ya Asili Tanzania - TFCG, 2017)
    Moja ya matarajio makubwa ya mradi huu wa AVA ni kusadia jamii kuibua miradi ya maendeleo mbayo ni rafiki wa misitu na mazingira. Hivyo mojawapo ya miradi iliyoibuliwa na wanakijiji wa Halmashauri ya Mvomero, Morogoro ni ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2018-02)
    Ngamia ni mnyama muhimu katika maeneo ya ukame au baridi kali anakotumika kwa shughuli mbalimbali ikiwemo usafiri, chakula kupitia maziwa na nyama yake, kuwawezesha wanawake kiuchumi na pia kulinda mazingira. Shirika la ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mfuko wa Uhifadhi Wanyamapori Afrika (AWF), 2009)
    Mwongozo huu umeandaliwa ili kusaidia jamii na watunga sera katika ngazi ya jamii na kitaifa kufanya maamuzi na uchaguzi sahihi kuhusu matumizi ya ardhi, biashara, na sera za kitaifa kwa maeneo ya wafugaji, hasa nyika za ...
  • WIKIPEDIA (WIKIPEDIA, 2020)
    Kuku Mashuhuri Tanzania ni aina mbalimbali za kuku ambao wanafugwa kwa kiwango kikubwa nchini Tanzania.
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelhood Development Company - RLDC, 2008)
    Kwa kawaida au katika hali halisi, kazi ya kulea vifaranga hufanywa kuku mwenyewe. Hivyo ili kulea vifaranga, mfugaji ni lazima aige kuku anavyofanya. Ikumbukwe kuwa vifaranga husumbuliwa zaidi na hali mbaya ya hewa, ...
  • Inades-formation, Tanzania (INADES-FORMATION, 1987-11-13)
    Kijitabu kidogo hiki kina mambo ya msingi. Yafaa ukisome kabla hujaanza kujifunza. Kinaelekeza mambo muhimu matano: Masomo haya yatamsaidia na kumfaidi nani?, Zipo faida gani katika kujifunza?, Yakupasayo kujua juu ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2011)
    Mti wa Lucerne (tree Lucerne) ni aina mpya ya mmea wenye chakula cha hali ya juu kwa mifugo; na ambao pia hutumika kwa mapambo, kuzuia mmomonyoko wa udongo kwa maji au upepo, kurutubisha ardhi na kuni.
  • Mwandishi Hajulikani (Rural Livelihood Development Company - RLDC, 2006)
    Ufugaji wa kuku ni njia rahisi ya kujipatia kipato na lishe bora kwa kaya nyingi za vijijini. Hii ni kutokana na ukweli kwamba: • Ufugaji hauhitaji mtaji mkubwa kuuanzisha. • Ni rahisi kuusimamia. • Faida inapatikana ...
  • Mwandishi Hajulikani (PANTIL - SUA, 2013)
    Swali hili ni kubwa, na pengine zito kuliko maswali vote ambayo mkulima amekuwa akijiuliza. Ni njia ipi bora kutumia kupandisha mfugo? Je atumike dume anayefugwa na mfugaji moja kwa moja au itumike teknolojia ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo - ILRI, 2016)
    Kuku wana mahitaji tofauti ya vyakula kulingana na umri (vifaranga, wanaokua, wakubwa) na uzalishajili (utagaji au unenepeshaji). Ili kuku waweze kukua vizuri, kunenepa na kutaga mayai mengi ni lazima wale chakula cha ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Ng’ombe anayelishwa nyasi pekee hawezi kufikia upeo wake wa maziwa. Hivyo, kuna haja ya kuwapa nyongeza. Nyongeza za kununua kama vile chakula cha ng’ombe kinakisiwa kuwa asilimia 20 ya gharama yote ya maziwa na hiv ...
  • Inades formation Tanzania (inades formation Tanzania, 1992)
    Tanzania ina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji wanaofugwa kwa mtindo wa huria vijijini na hata mijini. Katika mtindo huu wa ufugaji, kuku huachwa huru mchana kutwa kujitafutia chakula wao wenyewe. Pengine baadhi ya ...
  • Mwandishi Hajulikani (Programu ya Kuendeleza Matumizi ya Matokeo ya Utafiti (Research Into Use – RIU Tanzania) - MUVEK Development Solutions, 2012-01)
    Ndege wafugwao wana nafasi kubwa kuchangia katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini. Inakadiriwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya kaya zote nchini Tanzania hufuga aina moja au nyingine ya ndege, hususani jamii ya ...
  • Mbassa, Gabriel K. (Program ya PANTIL ( Chuo kikuu cha Sokoine), 2009-03-12)
    Katika nchi za Africa mashariki, kati na kusini magonjwa makuu ya mifugo ni yale yanayosababishwa na viini vidogo vya chembechembe vinavyoitwa protozoa ambavyo husambazwa kwa mifugo na aina mbalimbali za kupe na ndorobo. (mbungo)
  • Mugasha, A. G. (Mradi wa uhakika wa chakula na pato la kaya kwa wakulima wadogowadogo Tanzania (TARP II-SUA Project), 2004-08-19)
    Mifugo aina ya ngombe, mbuzi, kondoo na punda wanahitaji vyakula vya aina kuu tano, ili waweze kukua na kutoa maziwa mengi au kufanya kazi mbalimbali.
  • Mwandishi Hajulikani (Department of Agriculture, forestry and Fisheries - South Africa, 2010-07)
    The definition of aquaculture is the farming of aquatic organisms, including fish, mollusks, crustaceans and aquatic plants. Farming implies some sort of intervention in the rearing process to enhance production, such as ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account