Kwa ufupi:
Ng’ombe anayelishwa nyasi pekee hawezi kufikia upeo wake wa maziwa. Hivyo, kuna haja ya kuwapa nyongeza.
Nyongeza za kununua kama vile chakula cha ng’ombe kinakisiwa kuwa asilimia 20 ya gharama yote ya maziwa na hivyo kupunguza faida ya mkulima. Kutengeneza nyongeza kwa kutumia mali ghafi yanayopatikana kwa urahisi ni chakula kwa bei nafuu na hufanya haziwa kuongezeka na gharama kusalia ya chini.