Kwa ufupi:
Pumpkins ni miongoni mwa vyakula vilivyopo katika kundi la mimea ya Cucurbitaceae au familia ya squash. Maboga huwa yana umbo kubwa, la dura na rangi yake huwa ni ya kijani kilichopauka na kwa ndani huwa na rangi ya chungwa. Kwa sehemu yan je maboga huwa magumu lakini yanapopikwa hulainika. Ndani ya boga huwa kuna kuna mbegu ambazo hutolewa na sehemu ya ndani ambayo huwa inaliwa.
Kipande cha gramu 80 cha boga (lililochemshwa) huwa na :
Gramu 0.5g za protini
Gramu 0.2 za mafuta
Gramu 1.5 za nafaka
Gramu 1.4 za sukari
Gramu 1.2 za faiba( nyuzinyuzi)
Miligramu 67za Potassium
Miligramu 764 za carotene
Miligramu 6 za vitramini C
10Kcal / 42KJ