Chakula na Lishe: Recent submissions

  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2016-06)
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-05-22)
    Kuna mboga kuu mbili za mizizi katika Afrika Magharibi - mihogo na viazi vikuu au magimbi. Muhogo unapatikana mwaka mzima, ni wa bei nafuu na unajulikana, au tukisema kwa usahihi, ulijulikana kuwa chakula cha maskini. Nyingine ...
  • Uhifadhi wa mazingira na kilimo (Sokoine university of agriculture, 2021-04-02)
    Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-07-09)
    Ndizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini.Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na Inasawazisha maji ya ...
  • Taasisi ya chakula na lishe (Taasisi ya chakula na lishe., 2011-08)
    Ulaji usiozingatia kiasi na mchanganyiko wa makundi yote ya chakula kama nafaka, mizizi na ndizi,vyakula vyenye asili ya wanyama na jamii ya kunde,mbogamboga na mtunda huchangia kwa kiasi kikubwa viashiria hatari vya ...
  • Taasisi ya chakula na lishe (Taasisi ya chakula na lishe., 2018)
    Watu wanaishi na virusi vya ukimwi na wenye ukimwi mara nyingi hupata matatizo ya ulaji ,umeng'enywaji, ufyonzwaji wa chakula mwilini ,mengine ni kupoteza hamu ya kula,mafua ya mara kwa mara ,vidonda vya kooni na ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-29)
    Nafaka ni aina ya nyasi inayokuzwa kwa ajili ya "tunda" lake linaloweza kuliwa, linalojulikana zaidi kama nafaka.Nafaka hulimwa nyingi na hutoa virutubisho vingi zaidi vya chakula kuliko zao lolote, iwe ni moja kwa moja ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2020-04-09)
    Utafiti mwingi juu ya pilipili umeonyesha namna pilipili inavyoweza kuathiri afya, lakini matokeo ni mchanganyiko Viungo kwenye chakula vimekuwa vikitumiwa kwa miaka mingi sana. Binzari' Turmeric' na pilipili zimefanyiwa ...
  • Kouwonou, Isidore (Taasisi ya chakula na lishe., 2024-01-24)
    Wafugaji wengi wanapendelea kuku wa kizungu. Barani Afrika, wafugaji wengi hutegemea zaidi kuku kizungu. Kuku hawa pia nyama pia huitwa "kuku wa kisas, kuku wa nyama " ambapo huitwa majina hayo kwamepewa kutokana na nyama ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-03-09)
    samaki wenye mafuta ni wazuri kwa afya? ikiwa ni hivyo, ni aina gani bora na unapaswa kula mara ngapi? Nicola Shubrook, mtaalamu wa lishe, anaelezea faida za samaki hawa.Samaki wa mafuta mengi ya asidi ya mafuta ya ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-07-22)
    Kwa watu wengi wa Ulaya na Marekani, wazo la kula senene na panzi linaweza kuonekana kuwa la kuchukiza, lakini ni vitafunwa maarufu katika sehemu za Afrika na Asia. Sio tu kwamba wamejaa virutubisho lakini pia hawana ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-04)
    Unga wa nazi ni unga laini unaotengenezwa kwa nyama iliyokaushwa ya nazi. Tui la nazi linapotolewa kwenye nyama ya nazi, kisha hukaushwa kwa joto la chini na kusagwa kuwa unga unaofaa kuoka.
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2022-05-22)
    Wanasayansi wameandaa orodha ya mimea ambayo inaweza kuwa sehemu muhimu ya lishe yetu mnamo mwaka 2050, lakini sasa haijulikani. Katika siku zijazo, tunaweza kuwa tunakula ndizi za kutengenezwa au tunda la mti wa pandunus ...
  • Kituo cha utafiti uyole (Taasisi ya utafiti wa kilimo uyole, 2021-09-05)
    Kituo cha Utafiti Uyole (Tari) kimesema zao la maharage aina ya Jesca licha ya kuongeza nguvu za kiume lina faida zaidi kwa binadamu kwakuwa linatibu matatizo mengi. Gazeti la Mwananchi limeandika Hivi karibuni Mkuu wa ...
  • Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 2023)
    Kilimo shadidi cha mpunga (System of Rice Intensification—SRI) ni teknolojia bora yenye kutumia maji na mbegu kidogo kwa kutoa mavuno mengi. Hutumika kwa ku- badilishana kati ya kulowanisha kwa siku 3 na kukausha ardhi kwa ...
  • Sanchez, Monica (Sokoine university of agriculture, 2023-02-21)
    Wakati hali ya joto inapoanza kuwa juu sana, hakuna kitu bora kuliko kujificha chini ya mti, kwani chini yake kuna hali ya hewa ya baridi. Hii si hivyo tu kwa sababu majani huzuia miale ya jua kugonga ardhi, lakini pia ...
  • BBC swahili (BBC swahili, 2021)
    Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali. Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wanaotoka baharini hadi ziwani. Mtaalamu ...
  • Kituo cha utafiti wa kilimo (Mradi wa AGRI, 2016)
    Mbaazi za mda mfupi hukomaa kati ya siku 120 hadi125 katika maeneo ya Morogoro,Tanga, Pwani, Mtwara na Dar es salaam.Katika ukanda wa juu kwenye baridi mbaazi za mda mfupi hukomaa kwa mda mrefu zaidi ya siku 120.Mbaazi ...
  • Animal care Unit (Sokoine university of agriculture, 2018-06-11)
    Lishe/chakula/mlo kamili kwa mbwa ni muhimu sana kwani humpa mbwa afya nzuri na pia huwakinga mbwa na mashambulizi mbalimbali ya magonjwa na hivyo kuwafanya wavutie muda wote Kwa sasa vyakula vingi vya mbwa hupatikana ...
  • Mpinga, Abbas (kilimo for life, 2022)

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account