Kwa ufupi:
Lishe/chakula/mlo kamili kwa mbwa ni muhimu sana kwani humpa mbwa afya
nzuri na pia huwakinga mbwa na mashambulizi mbalimbali ya magonjwa na
hivyo kuwafanya wavutie muda wote Kwa sasa vyakula vingi vya mbwa hupatikana madukani kutoka viwandani maana vimefanyiwa utafiti na kuzingatia afya ya mlaji ambaye ni mbwa na wanasayansi wameenda mbali zaidi wameweza kutengeneza chakula kutegemea aina ya breed ya mbwa
Lakini hayo yote hayakuzuii wewe mmliki wa mbwa kujitengenezea chakula
mwenyewe ambacho kitakuwa kimekidhi vigezo vyote vinavyohitajika kwa
mbwa ili kuepuka gharama ya chakula kwa namna moja ama nyingine kama
nitakavyoelezea hapa chini