Kwa ufupi:
Wafugaji wengi wanapendelea kuku wa kizungu. Barani Afrika, wafugaji wengi hutegemea zaidi kuku kizungu. Kuku hawa pia nyama pia huitwa "kuku wa kisas, kuku wa nyama " ambapo huitwa majina hayo kwamepewa kutokana na nyama yake na ukuaji wake wa haraka.Kuku hawa karibu wamekuwa maarufu kwasababu huwaingizia pesa nyingi wafugaji na ni tofauti na kuku wa kienyeji ambao kwa kawaida tunawaita kuku wa baiskeli nyumbaninchini Togo, ambao huchukua muda mrefu zaidi kukua.