Chakula na Lishe: Recent submissions

  • Malisho 
    Wizara mifugo na uvuvi (Sokoine university of agriculture, 2023)
    Malisho ni chakula cha msingi cha mifugo kinachojumuisha aina mbalimbali za nyasi na mikunde. Utunzaji wa malisho ni muhimu ili kuhakikisha kwamba mifugo inapata chakula bora na cha kutosha wakati wote. Ukuaji na ustawi ...
  • Minaelly (facebook, 2021-01-20)
  • Mndiga, Hassan S.; Ernest, Zablon; Joseph, Erick; Daniel, Naimana; Yeriko, Elianchea; Ochieng, Justus (WorldVeg, 2019)
  • Wizara ya afya (2021-12)
    Ulimwengu mzima una takribani watoto milioni 250 wenye umri chini ya miaka mitano ambao wanapatikana kwenye nchi zenye uchumi wa chini na zile zenye uchumi wa kati ambao wapo kwenye hatari ya kutokufikia ...
  • Taasisi ya chakula na lishe (Wizara ya afya, 2019-01-01)
    Jumuiya ya Afya ya Nchi Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika imeendelea na uhamasishaji na msaada wa kitaaamu katika nchi husika ikiwemo Tanzania. Hii ni mojawapo ya mpango mkakati maalum wa kupunguza utapiamlo katika ...
  • LISHE 
    Taasisi ya chakula na lishe (Wizara ya afya, 2021)
    Kuboresha lishe ni msingi katika kufanikisha malengo yote ya Maendeleo Endelevu. Uwepo wa utapiamlo sugu (udumavu) unadhoofisha maendeleo katika uhakika wa chakula, uboreshaji wa elimu, na afya bora ya mama na mtoto nchini ...
  • Taasisi ya chakula na lishe (Wizara ya afya, 2017-12)
    Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC). 2013. Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo: Bango kitita lenye ujumbe muhimu. Dar es Salaam, Tanzania: Taasisi ya chakula na lishe Tanzania na kuchapishwa kwa ufadhili wa shirika ...
  • BERAFOOT INTERNATIONAL LTD (Sokoine university of agriculture, 2023)
    Matayarisho na uendeshaji wa kitalu cha mboga Kitalu ni nini? Kitalu ni mahali ambapo miche huoteshwa na kutunzwa kabla ya kupandikizwa Kwenye bustani au shambani Kwenye mashimo. Mavuno mazuri ya kilimo cha mboga na ...
  • Mapera 
    Mwandishi Hajulikani (2022)
    Mapera ni matunda yanayopatikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendwi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ...
  • chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (chuo kikuu cha kilimo cha sokoine, 2023-03-14)
    Viazi vitamu ni zao mojawapo muhimu la chakula na lishe bora nchini Tanzania. Viazi vitamu vina wanga mwingi hivyo ni njia rahisi ya kuupatia mwili nguvu. Majani ya viazi vitamu yanatumika kama mboga na kuupatia mwili ...
  • Matunda 
    Martine, John (chuo kikuu cha sokoine cha kilimo, 2023-01-13)
    Tunda ni sehemu ya mmea ilio na mbegu au isio na mbegu ndani yake. Tunda ni sehemu ya chakula ambacho hujumuishwa katika lishe ya kila siku. Matunda mbalimbali huwa na virutubisho tofauti vinavyohitajika mwilini.
  • Mapera 
    Mwandishi Hajulikani (chuo kikuu cha sokoine cha kilimo, 2022)
    Mapera ni matunda yanayopatikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendwi sana kutokana na ugumu wake wakati wa kuyatafuna pamoja na kuwa na mbegu mbegu nyingi. Hata hivyo matunda haya yana faida kubwa sana kwa afya ...
  • alex, maige (chuo kikuu cha kilimo cha sokoine, 2017)
    Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na competion ya soko ni almost zero. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shamba watuniashane misuli mbele yako ...
  • Idara ya Uvuvi (Idara ya Uvuvi,, 2016-12)
    Utunzaji na uhifadhi wa samaki huhusisha vitendo vyote vinavyofanyika kulinda ubora wake, kuanzia samaki anapovuliwa mpaka anapofika kwa mlaji. Hii inasaidia kupunguza upotevu wa viini lishe na upatikanaji wa bei ...
  • Mwandishi Hajulikani (Chuo kikuu cha sokoine cha kilimo, 2022)
    Stafeli na topetope ni matunda yenye faida lukuki kwa afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni faida muhimu za mti wa Mstafeli. Juisi yake hutibu kansa kwa haraka na kwa ufanisi zaidi. Ina nguvu mara elfu kumi (10,000) zaidi ya ...
  • SNAL, SUA (SUA, 2022)
  • Kisanga, P.; Mella, O.; Masako, R.; Navetta, D. (Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1992-10-17)
    Kijitabu hiki cha maswali na majibu ni kimojatu kati ya vijitabu kumi vinavyotolewa aa Shirika la Chakula na Lishe Tanzania kutokana na barua za wasikilizaji wa vipindi vya redio vya "Chakula na Lishe". Vijitabu hivi ...
  • Mwasi, Fatma; Materu, Mary G.; Edwin, Tuzie (COUNSENUTH, 2006-08-15)
    Lishe bora ni rnuhimu kwa watoto wote hususan wenye virusi vya UKIMWI kwa ajili ya ukuaji na maendeleo yao. Watoto wanakua kwa haraka hivyo wana mahitaji makubwa ya chakula ili kuwapatia virutubishi muhimu yaani ...
  • Kinabo, Prof. J. L.; Mnkeni, Dr. A.; Nyaruhucha, Dr. C.; Msuya, Dr. J.; Chale, Bi. F. (TARP II - SUA PROJECT, 2005-02-09)
    Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu nne ambazo ni: 1. Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umn 2. Mama kula peke yake 3. Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri 4. ...
  • Maganga, S. J.; Kimboka, S.; Tatala, S.; Mduma, B.; Ballart, A.; Temalilwa, C. R.; Missano, H. M.; Kisanga, P.; Magalia, A. W.; Ng'wawasya, B. M.; Kayombo, J. K.; 5imonje, L. W.; Ndossi, G. D.; Rwebangira, C. G.; Kayombo, L. C.; Ntoga, B. A. (Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-10-11)
    Upungufu wa wekundu wa damu ni moja ya matatizo sugu ya utaptamlo yanayoathiri watu na kusababisha vito vingi hapa Tanzania. Kutokana na takwimu zilizopo Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, inakadiriwa kuwa asilimia ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account