Ghala la Mkulima

Utafutaji Chakula na Lishe Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Chakula na Lishe Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Taasisi ya chakula na lishe (Taasisi ya chakula na lishe., 2018)
    Watu wanaishi na virusi vya ukimwi na wenye ukimwi mara nyingi hupata matatizo ya ulaji ,umeng'enywaji, ufyonzwaji wa chakula mwilini ,mengine ni kupoteza hamu ya kula,mafua ya mara kwa mara ,vidonda vya kooni na ...
  • Mitiki, MiTiki blog. (2017-02-07)
    Chakula bora kwa Nguruwe ni moja ya suala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa Nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha Nguruwe kinagharimu kama asilimia sabini ya garama zote za ufugaji wa nguruwe. ...
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2019-05-17)
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2016-06)
  • Mwandishi Hajulikani (COUNSENUTH, 2010-07)
    Saratani (Cancer) ni ugonjwa unaotokana na seli za mwili zilizopoteza mfumo wake wa kugawanyika na hivyo hazipo katika hali yake ya kawaida. Seli hizo huweza kugawanyika bila mpangilio maalum na kuharibu mkusanyiko ...
  • White, C (1995)
    Karibu I would first of all like to thank all those who wrote to Anna with the recipes and quickly remind all those with good intentions to send more as the recipes can be added at a later date. So, thanks go to ...
  • BBC swahili (BBC swahili, 2021)
    Dagaa, ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa afrika Mashariki ni kitoeo maarufu na mara nyingi kutumiwa kama mboga ya kula na wali ama ugali. Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wanaotoka baharini hadi ziwani. Mtaalamu ...
  • Slabbet, Karien (daily industry in Africa, 2007-01-12)
    very minute of every day, some where in the world 21 children die of Malnutrition and preventable diseases it is a given party that sustainable school milk programs can help alleviate hunger, while at the same time building ...
  • Mwandishi Hajulikani (Zenji Shoppers, 2016)
    Kiepeperushi kinachoelezea vyakula na bidhaa ambazo zikitumika zinaweza kusaidia kukuza nywele na kuondoa upara katika kichwa.
  • Nkuba, D. E. M; Bundala, N. H (2016)
    Utapiamlo ni miongoni mwa matatizo makubwa ya kiafya ambayo yanaathiri watoto chini ya miaka mitano, wajawazito na wanaonyonyesha, kutokana na mahitaji yao kilishe kuwa makubwa. Licha ya jitihada zinazoendelea kufanywa na ...
  • WIZARA YA KILIMO (WIZARA YA KILIMO, 2018)
    Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua angalau kiasi cha masaa 6 kwa siku. Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye ...
  • Wizara ya kilimo Tanzania, wizara ya kilimo Tanzania (Wizara ya kilimo, 2003)
    Faida ya mafuta yatokanayo na mazao ya mbegu
  • Mwandishi Hajulikani (Ukulima wa kisasa, 1989-07)
    Mboga na matunda ni muhimu kwa ajili ya miili yetu.Hutupatia vitamini na madini,viini ambavyo hulinda miili yetu isishambuliwe na magonjwa pamoja na kujenga na kuimaiisha meno na mifupa.
  • Grant, Frederick K.; Mudege, Netsayi N. (International Potato Center - CIP, 2017)
    This report is based on a qualitative formative gender evaluation of the Viable Sweetpotato Technologies for  Africa (VISTA) Tanzania project implemented in seven districts in the Mbeya, Iringa and Morogoro regions,  ...
  • Kouwonou, Isidore (Taasisi ya chakula na lishe., 2024-01-24)
    Wafugaji wengi wanapendelea kuku wa kizungu. Barani Afrika, wafugaji wengi hutegemea zaidi kuku kizungu. Kuku hawa pia nyama pia huitwa "kuku wa kisas, kuku wa nyama " ambapo huitwa majina hayo kwamepewa kutokana na nyama ...
  • Mwandishi Hajulikani (Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Tanzania., 2018)
    Chakula bora ni mlo kamili ulioandaliwa kutokana na mchanganyiko wa makundi matano ya chakula
  • School Canteen, S. (Department of food, 2010-01-13)
    Siku ya shule inakua na mabo mengi ya kimasomo na michezo.Chakula ni mafuta ya miili yetu na chakula bora kinawapa watoto nguvu na virutubisho vinavyotakiwa mwilini.
  • Mahuyemba, Alfonsi S. (Mahuyemba Alfonsi, 2013)
    Asilimia kubwa ya dawa zitumikazo kwa kinga na tiba ya maradhi mbalimbalizilijulikana na kugunduliwa kutokana na vyanzo vya awali vya mimea. kutokana na maendeleo ya sayansi na tekinolojia, chenye uwezo wa kutibuna kuzuia ...
  • Iman, Rubaba (Jalico ltd / Tanzania kilimo blog, 2020-04-11)
    Ufugaji wa mende ni ufugaji unaokua kwa kasi sana hapa nchini, hii ni kutokana na faida zinazoaminika kupatikana kwa mende.Hivyo kwa namna hii kasi ya ufugaji inaongezeka, kunauwezekano mkubwa sana kwa wafugaji wengi kuingia ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2008)
    Mboga za kiasili ni muhimu kwa chakula na zina virutubishi zaidi ya zile za kigeni kama vile sukuma wiki na kabeji. Mifano yake ni kama vile sageti, mnavu, mchicha na mkunde. Mimea hii huwa na madini na vitamini A ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account