Chakula na Lishe: Recent submissions

  • Katuma Blog (Mzizi Mkavu Blog, 2006-02)
    Mchaichai kama kiungo cha chakula jikoni na wengine hutumia kama dawa ya mbu. Lakini, je unafahamu kuwa majani haya yana aida kubwa kiafya. Mafuta vya mchaichai hutumika katika viwanda vinavyotengeza pafyumu na sabuni. ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2024-04-12)
    Maharagwe ya soya ni moja ya mazao muhimu katika jamii ya mikunde katika nyanja za uzalishaji wa kibiashara kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha protini (35-40%). Soya inatumika katika kuandaa vyakula vinavyoliwa vikiwa ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2024-05-30)
    Kuna faida za kiafya za kunywa chai ambazo labda huzijui. Chai ni mojawapo ya vinywaji vinavyotumiwa sana duniani na imekuwa ikitumiwa kwa karne nyingi. Kuna aina tofauti za chai; nyeusi, kijani, nyeupe na rangi zingine. ...
  • Williams, Jo (Shirika la chakula duniani, 2024-06-09)
    Kama mzazi, mahitaji ya lishe ya mtoto wako mchanga na mtoto aliyekuwa kidogo ni wazi kuwa ni kipaumbele, na ni rahisi kuhisi kulemewa na habari nyingi za mitandaoni. Vyakula ambavyo mtoto hula katika miaka yao ya mapema ...
  • Globalpublishers (Global, 2024-10-03)
    JAPOKUWA bamia huchukuliwa na wengi kuwa ni chakula rahisi kinachotumiwa zaidi na kundi la watu wenye uchumi wa chini na kati, ukweli kwamba aina hiyo ya mboga ina maajabu ya aina yake mwilini. Walaji wa bamia hunufaika ...
  • Communication Services, Centre for Language (Umoja Wa Afrika, 2020-05)
    Upungufu wa virutubisho, ambao unaathiri watu bilioni mbili ulimwenguni, husababisha upofu, kinga dhaifu, ukuaji wa mwili na utambuzi, kutokwa na damu wakati wa kujifungua, na shida nyinginembaya ...
  • Chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2024-06)
    Vyakula vya mgonjwa wa kisukari ni vipi? Je, kuna vyakula vinavyosababisha kisukari? Je mgonjwa wa kisukari anaweza kula vyakula vya wanga? Je, kuna vyakula vinavyosababisha Ugonjwa wa Kisukari? Kuna vyakula ambavyo vinaweza ...
  • chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (Chuo cha kilimo cha Sokoine., 2021-11-04)
    Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi ...
  • Kinabo, J.L (Sokoine university of agriculture, 2004)
    Mfumo wa ulaji unaotumika katika vijiji hivi umegawanyika katika sehemu tano ambazo ni: Baba kula pamoja na watoto wa kiume bila kubagua umri. Mama kula peke yake Mama kula na watoto wa kike bila kubagua umri Watoto wa ...
  • Maganga, S. (TFNC Readers series, 1994)
    Mwili wa binadamu unahitaji maji na virutubisho vya aina mbali mbali. Virutubisho hivyo ni vile vya aina ya nishati, utomwili, madini na vitami-ni. Vyote hivi huhitajika katika kulinda na kujenga mwili ikiwa ni pamojana ...
  • Shetto, M.C. (chuo cha kilimo cha Sokoine, 2003-06)
    Wanawarsha pia waliorodhesha mazao ya jamii ya mizizi ili kuelewa aina za mazao haya. Aina tano za mazao ya jamii ya mizizi yaliorodheshwa nayo ni: Muhogo, Viazi vitamu, Magimbi, Viazi vikuu, Viazi mviringo, angawizi ...
  • Shirika la chakula duniani (Shirika la chakula duniani, 2023-04-25)
    Protini ni nini? Protini ni moja ya virutubisho vitatu, pamoja na mafuta na wanga, ambayo tunahitaji kwa kiasi kikubwa (macro) katika mlo wetu. Nywele zetu, ngozi, mifupa na misuli yote yametengenezwa kutokana na protini ...
  • Shirika la chakula Duniani (Shirika la chakula duniani, 2016-03-09)
    Je umewahi kufikiria kuwa wadudu lishe ni moja ya majawabu ya kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabianchi, halikadhalika lishe na kutokomeza umaskini? Kama hapana, basi fuatilia makala hii kutoka mfuko wa Umoja wa ...
  • Mamlaka ya chakula na lishe. (Mamlaka ya chakula na lishe, 2018-03-09)
    Virutubishi mchanganyiko vinapotumiwa na watoto havileti madhara, lakini vinaweza kusababisha maudhi madogo madogo, mfano: Kuharisha kwa muda mfupi: Baadhi ya watoto hupata tatizo la kuharisha kwa muda mfupi baada ya ...
  • Mamlaka ya chakula na lishe. (Mamlaka ya chakula na lishe, 2019-03-22)
    Virutubishi mchanganyiko vinapotumiwa na watoto havileti madhara, lakini vinaweza kusababisha maudhi madogo madogo, mfano: ØKuharisha kwa muda mfupi: Baadhi ya watoto hupata tatizo la kuharisha kwa muda mfupi baada ya ...
  • Mtenga, L.A (Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, 2003)
    Mradi wa uboreshaji wa mauzo, uhifadhi na ulaji wa nyama vijijini unafadhiliwa na Serikali ya Norway kupitia shirika lake la maendeleo (NORAD) chini ya mradi mkubwa wa Uhakika wa Chakula na Palo la Kaya kwa Wakulima ...
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2019-05-17)
  • Mamlaka ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2019-05-25)
  • Mamlaka ya chakula na lishe. (Mamlaka ya chakula na lishe, 2019-03-17)
  • Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (Taasisi ya chakula na lishe Tanznaia, 2016)

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account