Matumizi Bora ya Ardhi: Recent submissions

  • Mwandishi Hajulikani (2010)
    Wote tunaiona wazi: watu wameongezeka, miji imekua, mifugo imeongezeka, mashamba mengi zaidi .... Vilevile uharibifu zaidi wa ardhi, uharibifu wa misitu, mmomonyoko wa udongo .... Migogoro mingi zaidi kati ya wakulima ...
  • Mwandishi Hajulikani (Tanzania Osaka Alumni - TOA, 2012)
    Maboresho ya Serikali za Mitaa Tanzania yamelenga katika utoaji bora wa huduma wa Serikali za Mitaa kwa kuzingatia sera za kitaifa za Serikali Kuu. Maboresho yamekaribisha ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, 2011-08)
    Mwongozo huu wa upitishaji wa Sheria Ndogo katika ngazi ya Kijiji umetokana na Sheria za Serikali za Mitaa Mamlaka za Wilaya Sura 287 toleo la 2002 pamoja na Sera ya Serikali ya kugatua madaraka kwa kukabidhi kazi, haki, ...
  • Mwandishi Hajulikani (EcoAgriculture, 2014-10)
    Nchini Tanzania, mpango wa matumizi bora ya ardhi vijijini ulirasimishwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni moja ya mikakati katika mchakato wa kuleta maendeleo endelevu vijijini. Utekelezaji wa mpango huu hauna budi kuwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Ofisi ya Waziri Mkuu, 2010)
    Kufuatia kukamilika kwa Awamu ya Uandaaji wa Maboresho Julai 2008, MKURABITA iliingia katika awamu yake ya Tatu ambayo ni Utekelezaji wa Maboresho. Menejimenti ya MKURABITA ilianza kwa kutekeleza baadhi ya mapendekezo ...
  • Mwandishi Hajulikani (The Green Belt Movement, 2010)
    Kijitabu hiki kimetengenezwa na Shirika la FHI 360 likishirikiana na Green Belt Movement kama sehemu ya tathmini kwa afya ya umma. Green Belt Movement ina lengo la kulinda mazingira ikiwa ni pamoja na uongozi mzuri kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kituo cha Utafiti wa Kilimo, Mikocheni & Kituo cha Ut afiti wa M azao Uyole, 2003)
    Kipeperushi kinachoelezea mbolea ya Minjingu kama ni mbolea asilia ya kupandia. Mbolea hii inatokana na miamba inayochimbwa katika eneo la Minjingu mkoani Manyara ambayo husagwa na kufungashwa kwenye kiwanda kilichojengwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (TFCG, 2016)
    Kipeperushi kinachoelezea kilimo chenye kutumia mbinu bora za kilimo zenye tija kwa mkulima na kuyalinda mazingira. Ni mfumo unaohusisha ulimaji / matumizi ya udongo na mazao kwa utaratibu ambao hupunguza mmomonyoko wa ...
  • Lukalo, F; Dokhe, E (FAO, 2017)
    Kwa zaidi ya miaka miwili baada ya kuzinduliwa kwa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Februari 2013, hatua nyingi zimepigwa za kuboresha usimamizi wa ardhi nchini Kenya. Kuchapisha kitabu hiki ni ufanisi unaohitaji kusherehekea kwa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya Kilimo, Usalama wa Chakula na Ushirika, 2014)
    Mpango wa Taifa kwa mwaka 2014 - 2019 juu ya utunzaji, uendelezaji na utunzaji wa mazingira ili kuboresha hali ya hela kwa ajili ya kilimo nchini Tanzania.
  • Lyimo-Macha, J. G; Batamuzi, E. K; Tarimo, A. J. P (TARP II - SUA Project, 2001)
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo na Uhakika wa Chakula, pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Norway (NLH), kinatekeleza Mradi wa Uhakika wa Chakula na Pato la Kaya kwa Wakulima ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account