Ghala la Mkulima

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

Utafutaji Mifugo na Uvuvi Kwa jina la Kitabu

weka kwa: Mpangilio: Matokeo:

  • Bunda farmers (Sokoine university of agriculture, 2012)
    Kuku wa kienyeji ni kuku wanaopendwa kufugwa na kuliwa na watu wengi kutokana na uasili wake. Jina la kuku wa kienyeji limekuwa maarufu kutokana na asili(mbegu) ya kuku hawa kutoka katika mazingira yetu tunayoishi, pia ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Research Institute - KARI, 2011)
    Ufugaji wa mbuzi wa maziwa unaendelea kutia fora hasa katika sehemu zenye uwezo pale ambapo mashamba ya kulishia ng’ombe wa maziwa yanapunguka. Sawa na ng’ombe wa maziwa hata mbuzi wa maziwa huhitaji utunzaji mwema.
  • Mwandishi Hajulikani (Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, 2010)
    Kipeperushi kinachoelezea ufugaji wa pweza ndani ya kipindi cha miezi 12 na kuanza kupata chakula au biashara
  • Mwandishi Hajulikani (Kitivo cha Tiba ya Mifugo - SUA, 2017-08)
    Maelezo juu ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa na athari zake.
  • Mwandishi Hajulikani (Harsho Trading Co. Ltd, Moshi Tanzania, 2016)
    Mambo mengi yanayohusika katika uleaji wa vifaranga kwa upande wa HARSHO FEEDS tupo tayari kumhudumia mfugaji wa kuku kwa kumpatia chakula na utaalamu sahihi. Katika uleaji wa vifaranga kuna tofuati kati ya vifaranga wa ...
  • Smith, Kassandra (www.backyardchickencoops.com.au, 2015-12)
    Looking to start your own flock of backyard chickens? Or perhaps you are wondering which chicken breed you should add to your established chicken coop? Look no further! Read on for our comprehensive list of the top 20 ...
  • Mwandishi Hajulikani (International Livestock Research Institute - ILRI, 2016)
    Ndigana kali ni ugonjwa hatari wa ng’ombe unaoenezwa na kupe wekundu wanaokaa katika masikio ya ng’ombe. Ugonjwa huu unasababisha vifo na hasara kubwa kiuchumi.
  • Idara ya ukuzaji viumbe maji (Wizara ya Mifugo na Uvuvi,, 2022-03)
    Kaa ni kiumbe anayeishi kwenye mchanganyiko wa maji bahari na maji baridi. Jamii ya kaa anayefugwa kwa wingi hapa nchini anajulikana kama kaa-ungo na kitaalam hujulikana kama Scylla serrata (mud crab au mangrove crab). ...
  • Lukuyu, Ben; Githinji, Julius; Lukuyu, Margareth (International Livestock Research Institute - ILRI, 2018-04)
    Kipeperushi kinachoelezea upandaji na utunzaji wa majani aina ya Brachiaria kwa ajili ya malisho ya wanyama kwa ajili ya uzalishaji bora wa nyama na maziwa.
  • Ravindran, V (Food and Agricultural Organization - FAO, 1995)
    Mwongozo uliotolewa wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa unaoelezea na kuchambua matumizi ya muhogo na viazi vitamu kama chakula cha wanyama.
  • Mwandishi Hajulikani (Idara ya Sayansi na Uzalishaji wa Wanyama - SUA, 2017)
    Maelezo mafupi juu ya uzalishaji bora wa chakula cha mifugo kama ngo'mbe, mbuzi na wengineo
  • Mwandishi Hajulikani (Samyak Infotech Pvt. Ltd, 2019)
    Kuku ni jamii ya ndege mwenye joto linalo fikia nyuzi (37.5 Centigrade). Japo kama ilivyo kwa viumbe wengine joto hilo linaweza kupanda au kushuka kidogo kutokana na sababu za kimazingira. Hapo zamani hapakuwa na uwezekano ...
  • Kifaro, G. C; Mtenga, L. A; Kasuku, A. A; Ndemanisho, E. E; Kimbita, E. N; Msalya, G; Mushi, D. E; Max, R. A (EPINAV - SUA, 2013)
    Utaalamu na elimu juu ya utunzaji bora wa mbuzi hawa haujaenea kiasi cha kutosha katika taifa letu. Tangu mwaka 1994, Idara ya Sayansi ya Wanyama na Uzalishaji (DASP) ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), imekuwa ...
  • Kifaro, C. G; Laswai, G. H; Kerario, I. I; Kibasu, I; Madalla, N; Mayunga, N (Kitivo cha Kilimo, Idara ya Sayansi za Wanyama - SUA, 2014)
    Faidika na Sungura - Hutoa nyama nyingi kwa haraka • Nyama nyeupe isiyo na mafuta mengi • Huzaa watoto wengi kwa mwaka • Umbile lake ni dogo na rahisi kumfuga • Ulishaji wake ni wagharama ndogo • Nyumba ni rahisi ...
  • Mgongo, F. O. K; Mbassa, G. K; Kashoma, I; Luziga, C (PANTIL, 2009)
    Josho la kuogeshea mifugo hususani ng'ombe ni njia rahisi na va ufanisi mkubwa va matumizi va dawa za kuua kupe. Hata hivyo, njia hii isipotumika vizuri, ufanisi wake hupungua au haupatikani kabisa. Hivvo ni muhimu josho ...
  • Mwandishi Hajulikani (Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza - ICE (SUA), 2017)
    Kipeperushi kinachoelezea utunzaji wa kuku wa asili
  • Mellau, Leasakiti,B; Mbassa, Gabriel K.; Mgongo, Frederick O. K.; Silayo, Richard S. (Sokoine University of Agriculture, 2009-03-20)
    kitabu hiki cha utunzaji wa ndama wa asili kimejikita katika kutoa elimu juu ya utunzaji wa ndama wa asili ikiwemo pamoja na magonjwa yanayo wasumbua .Kitabu hiki kimeeleza kwa undani juu ya swala la utunzaji wa ndama wa ...
  • Mwandishi Hajulikani (Kenya Agricultural Reseach Institute - KARI, 2008)
    Vifo vya nguruwe wachanga hupunguza faida ya biashara ya nguruwe kwa kupunguza idadi ya nguruwe wazima wa kuuzwa. Utunzaji mzuri wa nguruwe wachanga huepusha vifo vinavyotokana na shida kama: Matatizo ya kupumua na mengineyo.
  • Mwandishi Hajulikani (Ujasiriamali blog, 2016-08)
    Ufugaji wa nguruwe hapa nchini umeanza siku nyingi hususani katika mikoa ya nyanda za juu kusini (Mbeya, Rukwa, Iringa, na Ruvuma), Kaskazini (Manyara, Arusha, na Kilimanjaro). Aina za nguruwe wanaofugwa hapa nchini ni ...
  • Mwandishi Hajulikani (Association for Strengthening Agricultural Research in Eastern and Central Africa - ASARECA,, 2009)
    Kama msafirishaji wa maziwa, unafahamu vyema jinsi jinsi maziwa yanavyoweza kuharibika haraka kama hatayunzwa na huhifadhiwa vizuri au hayatasafirishwa kwa haraka. Hivyo basi, ni muhimu kuwa na uelewa wa kutosha na stadi ...

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account